Wabunge wa CCM waliowakaanga Mawaziri kwa kutegemea kuvaa viatu vyao waambulia Patupu

Lizaboni

JF-Expert Member
Feb 21, 2013
33,894
20,372
Hawa ni
  1. Dr Hamisi Kigwangala
  2. Kangi Lugola
  3. Deo Filikunjombe
  4. Luhaga Mpina
  5. Mark Mwandosya
  6. Lembeli

Wabunge hawa walishirikiana na wabunge wa upinzani kuwakaanga mawaziri kwa mategemeo kuwa Rais atalivunja Baraza la Mawaziri na wao wataambulia nafasi. Hakika sakata la ESCROW limewachanganya wengi na nampongeza Rais kwa kuliona hilo
 
Jamaa wajinga sana uwaziri hautafutwi kwa njia kama ile waliyokuwa wanatumia uwaziri hupimwa kwa vigezo vingi sana wapeni pole yao watasota sana.
 
watu wa ccm sijui wamejaza wadudu kichwani...hapo sijaona anayetaka waziri hata mmoja...nana wana-ccm ambao wanaagala ka chungu na hii nchi...halafu mkuu mbona mwigulu aliwakaanga ?, sendeka, wasira ,kinana..nk mbona nao walisema wezi watoswe..? au esahau.?
 
Jamaa wajinga sana uwaziri hautafutwi kwa njia kama ile waliyokuwa wanatumia uwaziri hupimwa kwa vigezo vingi sana wapeni pole yao watasota sana.
Hakika Mkuu. Mambo mengine ni kujidhalilisha tu
 
Hawa ni
  1. Dr Hamisi Kigwangala
  2. Kangi Lugola
  3. Deo Filikunjombe
  4. Luhaga Mpina
  5. Mark Mwandosya
  6. Lembeli

Wabunge hawa walishirikiana na wabunge wa upinzani kuwakaanga mawaziri kwa mategemeo kuwa Rais atalivunja bunge na wao wataambulia nafasi. Hakika sakata la ESCROW limewachanganya wengi na nampongeza Rais kwa kuliona hilo
mpuuZi wewe sasa ulitaka wabariki ufisadi kama wengine?
 
Lizaboni nilifikiri ni mkemea maovu kumbe ni walewale ambao hatuwezi kuwaamini. Yaani badala ya kufurahia makamanda wa chama chako kusafisha nyumba yenu we unasema walikuwa wanatafuta uwaziri. Kweli ccm ipo njia panda
Kwa bahati mbaya hujui kilichopo nyuma ya pazia
 
asumpta mshana yeye kapata nn pamoja na kutetea wezi wa eskrow
 
JK ni ugonjwa wa Kitaifa, Yule aliyetetea Escrow mpaka Udenda ukamdondoka ndiyo amempa unaibu Waziri wa Nishati na Madini! Mpaka Ana malechela naye ni Waziri Duuh! Pimbi Muhagama naye kampandisha Daraja Looh!

Kweli JK na washauri wake wamejichokea wameamua Bora yaishe maana Hakuna namna tena, watu wote ndiyo walewale uwezo wao ndiyo uleule wakaamua WAUNDE BARAZA LA LALA SALAMA na wengine angalau wapate CV.

Hakika sitokuja kumsahau JK nitamtungia Kitabu nikiweke katika JUMBA la Historia ili wajukuu zangu nao waje wamsome Raisi huyu aisiyekwisha Vituko na Vioja.
 
Back
Top Bottom