Wabunge wa CCM wakutana saa saba, watambeba Ngeleja?

Mpaka Mh Speaker kaona haibu ikabidi atumie mfano wa Wabunge wa CDM kukutana kuwa imekuwa ni utaratibu wa kawaida. Cha ajabu wabunge wote wamecheka maana wanajua nini kitaendelea huko kikaoni maana wanajua diyo wanaenda kuigawana ile 1,000,000,000(Bil 1) iliyotoka kwenye idara za Wizara ya Nishati na Madini


Una uhakika???

Au ndo ile sema usikike!!!take care itakula kwako utakapotakiwa kuthibitisha na huna ushahidi, Kama una ushahidi weka hadharani ili sheria ichukue mkondo wake.
 
Back
Top Bottom