Wabunge wa CCM wakutana saa saba, watambeba Ngeleja?

kama hawa wabunge wa ccm wataenda kujipanga au kushurutishwa ili kuipitisha bajeti ya wizara ya nishati na madini ukizingatia hoja zao walizotoa kwa hisia kali na uchungu mpaka wengine tukastaajabu kama kweli hawa ni wabunge wa ccm tunayoijua au la!, hapo mjadala mzima wa wabunge wa ccm leo bungeni utakuwa ni mchezo wa kuigiza ulioandaliwa na kupikwa kwa umahiri mkubwa tena kwa mbwembwe za uhakika na baada ya hapo itakuwa ni more hate and shame on ccm and the government!
Naunga mkono mkuu
 
Tangazo la speaker wa Bunge limetia fola baada ya bunge kulindima kwa vicheko juu ya wabunge wote kuonana hali kukiwa na kila dalili kuwa budget ya Wizara ya Nishati na Madini haitapita. Hali hiyo inaashiria kuwa wabunge wanataka kuwekwa swa( Kusetiwa) ili wakati wa kupitisha budget wawe ''RUBBER STAMP'' ya ''SIRIKALI''.
My intake; Wabunge wa CCM msikubalu kubeba haibu hii!!
Jaxx wewe ni noma, NIMEKU LIKE HAPO CHINI MWANANGU.
 
wakuu sheria zimenipitia kushoto, hivi kama isipopita waziri atajiuzuru au inabidi apewe muda akafanye marekebesho?
 
  • Thanks
Reactions: FJM
Wabunge wa CCM hatimaye watakubali kuipitisha bajeti ya Nishati na madini,hakuna jipya hapa!!
 
Yaaani Nimekasirika sana nilivyosikia hilo Tangazo la Spika!!!
Hivi hii Nchi nani Katuroga??, Argggghhhhhhhhhh

Mkuu hata UKIJIKOBOA GAMBA, lakini nyoka ni yule yule na sumu ni ile ile - hapo wanaitana kujadili kuimaliza Tanzania. Then wakitoka hapo baadhi yao wanajiita eti wapiganaji, kama siyo unafiki ni nini?
 
hapo hakuna maslahi ya wananchi......yaani ni aibu tupu.....sis wananchi tutaikataa
 
Magamba at work!
I hate these guys, i hate them so much that i vomit when i see ngeleja talking of working hard to address problems in the energy sector. The soil should curse this SOB.
 
Magamba at work!
I hate these guys, i hate them so much that i vomit when i see ngeleja talking of working hard to address problems in the energy sector. The soil should curse this SOB.
Who are those Bigirita??(red)
 
Magamba at work!
I hate these guys, i hate them so much that i vomit when i see ngeleja talking of working hard to address problems in the energy sector. The soil should curse this SOB.
Nimeipenda hiyo red ! ila wakiipitisha bajeti wataumia tu...hata wasipoipitisha bajeji wataumia vilevile! CCM sasa hivi ni kama ina malignant cancer...!
 
Yaaani Nimekasirika sana nilivyosikia hilo Tangazo la Spika!!!
Hivi hii Nchi nani Katuroga??, Argggghhhhhhhhhh
\



marehemu shekhe yahaya bilashaka na hakuna mganga wa kulitoa hilo zongo, labda yeye mwenyewe angekuwepo.
 
Ndugu zangu nimefuatilia mjadala wa bajeti ya wizara na madini leo hii asubuhi wa nishati na madini, Japokuwa wachangiaji wengi walikuwa wa Chama tawala cha CCM wengi wamekataa katu kwamba hawaungi mkono bajeti hiyo kwa hiyo isipitishwe. Kinachonifurahisha hapa ni naman ambavyo wabunge wa CCM wameachikia mbali itikadi zao za chama chao na kuamua kulivalia njuga jambo hilo. Baada ya bunge kumalizika spika Anne Makinda ametangaza wabunge wote wa CCM wakutane ukumbi wa Msekwa kikao ambacho mpaka sasa kinaendelea, ninachowashauri wabunge wa CCM ni kwamba wasifanye uamuzi wowote wa kutaka kuipitisha bajeti hii kinyemela wajue watakuwa wamevunja imani yao kwa wananchi na kamwe hatutawaunga mkono kwa hili, tuko tayari kuingia mitaani. Itakuwa ni aibu kubwa sana kwa Wabunge wa CCM kuonesha ujasiri mkubwa wa kutetea masilahi ya taifa kikao cha asubuhi hlf jioni waje watugeuke. Hoja hii sio ya kisiasa wekeni masilahi ya Taifa mbele na hima mhimizeni waziri Ngereja ajiuzuru na apumzike kwa amani. ASANTENI SANA, MWACHENI NGEREJA APUMZIKE KWA AMANI

Wana JF mnalionaje hili?
Vipi mkuu Vasco Dagama, bado yupo au kashaenda kula bata kwa zuma. Amekimbia mgao wa umeme tayari!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Wabunge wa CCM kama walishapitisha bajeti kuu kwa mbwembwe watakataaje hii ya Wizara moja wakati ni sehemu ya bajeti kuu? Walishapotea njia kwa kupitisha bajeti ya Mkullo hivyo hawana cha kufanya wala hawawezi kurekebisha kitu chochote kwenye mafungu yaliyopangwa kwa kila wizara.
 
Magamba at work!
I hate these guys, i hate them so much that i vomit when i see ngeleja talking of working hard to address problems in the energy sector. The soil should curse this SOB.
Hawa Son OF Bigirita lazima watapitisha tu.........Maana sioni sababu ya kikao cha namna ile baada tu ya kibano kwa Son OF Bigirita wa wizara hiyo. Wangekuwa fair kama mkutano huo nao ungerushwa LIVE ili tujuwe kama ni CCj au CCm
 
Back
Top Bottom