mjukuu2009
Member
- Jul 6, 2009
- 89
- 4
Ni wakati wa wauguzi kuunga mkono mgomo
Ni wakati wetu Watanzania tunaotibiwa na hao madaktari wa nchini kuunga mkono tusitegeme wabunge-ccm ambao ndio wengi kuunga mkono madai ya madakitari kwani wao wana hospitali zao uko India(Mumbai,Appollo,Bangalore).