Kumekucha watu wako wa karibu wanasema umeanza kujipendekeza kwa Membe!Lowasa ni kada muaminifu wa ccm na wewe ni kati ya walinzi wakeView attachment 1510750
Membe hayupo CCM!Mimi siyo kada wa ccm
Majimbo au kata zote yaliyobaguliwa kimaendeleo sababu eti walichagua wapinzani ni wakati wenu Sasa nanyi wabagueni wanyimeni kura hao wabunge wakachukue hizo kura kwenye majimbo au kata walizoziletea maendeleo tuone Kama zitawatosha kurudi tena bungeni.Aliyekubagueni kipindi cha raha nanyi wabagueni wanyimeni kura zenu kipindi hiki wanachoona umuhimu wenu.Nashangaa sana wananchi wengine kutolifahamu hilo hasa wana ccm
Majimbo au kata zote yaliyobaguliwa kimaendeleo sababu eti walichagua wapinzani ni wakati wenu Sasa nanyi wabagueni wanyimeni kura hao wabunge wakachukue hizo kura kwenye majimbo au kata walizoziletea maendeleo tuone Kama zitawatosha kurudi tena bungeni.Aliyekubagueni kipindi cha raha nanyi wabagueni wanyimeni kura zenu kipindi hiki wanachoona umuhimu wenu.
Wengine ndo ujifanya kuwa karibu na wapiga kura Hadi wanaparua barabara Hadi za uchochoroni hali walikutelekezi miaka 5
Mwingine kageuka mtu wa 'wanyonge' huku Mbinga Mjini anasikiliza "kero" za na "kujumuika" nao wakati 2015 alitamka kwa jeuri kabisa kuwa yeye kachaguliwa na pesa zake.View attachment 1510770
wazee wa ndioooooooooooooooooooooooooo! tuyonge watanzania wote; ndioooooooooooooooooo.1) serekali ikisema makao makuu ya nchi yahamie kijijini kwa rais bila kujali athari kiuchumi kwa nchi na wananchi, hili litakelezwa haraka kutokana na wingi wa wabunge wa chama cha rais
Ile Ya Lowasa akiwa Chadema amepanda kwenye Daladala nayo ebu tuleteeMkuu tumewazoea hao kwa drama zao. Lakini viazi zaidi ni hao wanaohadaiwa na kuhadaika.
View attachment 1510548View attachment 1510550
Lowassa alikuwa analeta drama za kiccm, Ila sasa amerudi nyumbaniIle Ya Lowasa akiwa Chadema amepanda kwenye Daladala nayo ebu tuletee
Noma sana. Mwanasiasa akikwambia habari ya asb inabidi utoke nje uangalie kama ani asubuhi kweliFix kama fix zingineView attachment 1510347
Hata hiyo baiskeli siyo ya kitoto!!