Napafahamu mkuu...kuanzia kata ya Ihembe , chonyonyo, Ihanda, kayanga, chaanika , kanoni , igurwa kiruruma, nyakabanga na nyaishozi..nimezunguka karibia kata zote 23...karagwe chadema iko imara sana bila kusahau kyerwa nayo iko vzr mnoo...kupitia chadema nimeifahamu kiasi nchi yng TzPole sana mkuu kumbe ulishakutana na figisu za Bashungwa!
Naona hata hapo alipo utakuwa unapafahamu!
Hongera sana kamanda mkomavu na mzoefuNapafahamu mkuu...kuanzia kata ya Ihembe , chonyonyo, Ihanda, kayanga, chaanika , kanoni , igurwa kiruruma, nyakabanga na nyaishozi..nimezunguka karibia kata zote 23...karagwe chadema iko imara sana bila kusahau kyerwa nayo iko vzr mnoo...kupitia chadema nimeifahamu kiasi nchi yng Tz
Asante sana mkuu..huwa nikiona makamanda wanakisnichi chama najisikia uchungu sana mkuu..maana tumeumia sana kukijenga chama..lkn naamini historia itatukumbukaHongera sana kamanda mkomavu na mzoefu
Wanachi wa huko na kwingineko ni wakati wa kuwapa hawa omba omba wa kura kibarua wafanye kabla ya kuwapa kura.Mbunge wa Jimbo la Karagwe na Waziri wa Viwanda na Biashara, Innocent Bashungwa Innocent Bash akipata kifungua kinywa na wananchi wa Kijiji cha Ahakishaka, Kata ya Nyabionza, Karagwe mkoani Kagera.
Mbunge yupo jimboni kwake kwa sasa na alifika katika mgahawa huo ili kupata kifungua kinywa na wananchi wa jimbo lake.
Huu ni usanii na udanganyifu wa kiwango cha lami, alichaguliwa mwaka 2015 hajawahi hata kushiriki mazishi ya watu wa kijijini kwake au jimboni kwake, kila siku yupo DSM.
Leo hii uchaguzi anajifanya kula pamoja na wapiga kura wake.
View attachment 1510320
Kurubuni Mtanzania ni rahisi kuliko kumrubuni mbwa wa Kenya.Utapeli kama anaofanya Tulia Mbeya
Sioni mbunge wa CCM mwenye tija katika taifa letu wengi ubebwa na mfumo na ndio maana uwa wanakuwa wabunge wa ndio.
Wanachi wa huko na kwingineko ni wakati wa kuwapa hawa omba omba wa kura kibarua wafanye kabla ya kuwapa kura.
Kurubuni Mtanzania ni rahisi kuliko kumrubuni mbwa wa Kenya.
Mwaka 2015 Lowasa alifanya maigizo ya kupanda daladala yaani utafikiri mtu ambaye hajawahi kuishi Tanzania.
Watu wanazeeka na unafki wao.
Ujinga wetu Wapiga kura ndio mtaji wa Chama Chakavu.Alafu hao anaokula nao msosi hapo wanajiona wenye bahati kubwa sana kwa kuwa na mbunge anaye wapenda na kuwajali
lowasa alifanya yale maigizo akiwa chadema.Ccm ndiyo kichaka cha kila aina ya usanii kisiasa
Kitinda mimba unamwita mhamiaji tafuta nchi ya kuishi.Watu wenyewe wote wahamiaji
Mkuu tumewazoea hao kwa drama zao. Lakini viazi zaidi ni hao wanaohadaiwa na kuhadaika.Mbunge wa Jimbo la Karagwe na Waziri wa Viwanda na Biashara, Innocent Bashungwa Innocent Bash akipata kifungua kinywa na wananchi wa Kijiji cha Ahakishaka, Kata ya Nyabionza, Karagwe mkoani Kagera.
Mbunge yupo jimboni kwake kwa sasa na alifika katika mgahawa huo ili kupata kifungua kinywa na wananchi wa jimbo lake.
Huu ni usanii na udanganyifu wa kiwango cha lami, alichaguliwa mwaka 2015 hajawahi hata kushiriki mazishi ya watu wa kijijini kwake au jimboni kwake, kila siku yupo DSM.
Leo hii uchaguzi anajifanya kula pamoja na wapiga kura wake.
View attachment 1510320