Wabunge wa CCM acheni kutudanganya

Mbunge wa Jimbo la Karagwe na Waziri wa Viwanda na Biashara, Innocent Bashungwa Innocent Bash akipata kifungua kinywa na wananchi wa Kijiji cha Ahakishaka, Kata ya Nyabionza, Karagwe mkoani Kagera.

Mbunge yupo jimboni kwake kwa sasa na alifika katika mgahawa huo ili kupata kifungua kinywa na wananchi wa jimbo lake.

Huu ni usanii na udanganyifu wa kiwango cha lami, alichaguliwa mwaka 2015 hajawahi hata kushiriki mazishi ya watu wa kijijini kwake au jimboni kwake, kila siku yupo DSM.

Leo hii uchaguzi anajifanya kula pamoja na wapiga kura wake.

View attachment 1510320
Yuko wapi sasa hapa mbona simuoni?
 
Toka 2015-2019 mbona alikuwa hapati kifungua kinywa na wananchi?
 
Back
Top Bottom