Nusura yetu kama watanzania ni kuhakikisha kuwa angalau wapinzani wanapata wabunge wa kuwatetea, bila hivyo haya mateso yatazidi kuongezeka maradufuMoja ya message muhimu kwenye kampeni za wapinzani kwa wapiga kura iwe ni kuwakumbusha kuwa wingi wa wabunge wa upinzani bungeni ndiyo kutapelekea ustawi wao kiuchumi, kiusalama, kijamii, kiimani, nk.
CCM ikichukua urais halafu pia ikawa na wabunge wengi maana yake maamuzi yao bungeni yatakuwa ni kuiunga mkono tu serekali hata katika mambo ambayo yana madhara kwa wananchi. itakuwa kama enzi hizo za Mobutu wa Zaire.
1) serekali ikisema makao makuu ya nchi yahamie kijijini kwa rais bila kujali athari kiuchumi kwa nchi na wananchi, hili litakelezwa haraka kutokana na wingi wa wabunge wa chama cha rais
2) wabunge wakiamua kujipandishia mishahara huku waalimu & madaktari wakisahaulika, rais ambaye ni mwanachama mwenzao atakubali ili naye waendelee kumkubalia mambo yake
3) chama kimoja kikishika hatamu kuna hatari ya wasio wanachama kunyang'anywa hata wake zao bila huruma (Gaddafi, Saddam ni baadhi ya mifano)
4) rais kujitangaza kuwa "rais wa maisha" ni rahisi sana chini ya chama kimoja kushika hatamu
5) chini ya chama kimoja kushika hatamu watu wanaweza kupotezwa na watu (wakiwamo ndugu) wasiruhusiwe kuuliza whereabouts zao
6) nk nk nk
Dawa yao ni kupiga chini tu kila mahalaBona kalua wa segerea alidanganywa kutopeleka maendeleo kata za wapinzani akuzichanganya za kuambiwa,akawabagua mitaa ya wapinzani Hadi kuwaambia si mlichagua madiwani wapinzani,leo anakwangua mabarara Hadi uchochoroni sababu ya kampeni, mitaa Ile Ile aliyoibagua ya wapinzani,hio mitaa nao wamesema ulitubagua 5 yrs nasi tunakubagua kipindi hiki.Anaweza akashinda kata alizowaletea maendeleo akaangushwa na kata alizozibagua.Hivo hivo kwa mzee meko.Funzo unapowatendea maendeleo watu bila kuwabagua kisa tu walichagua upinzani nao watakubagua utakapotaka kura zao.Rafiki wa kweli kwenye dhiki
yeah...Nusura yetu kama watanzania ni kuhakikisha kuwa angalau wapinzani wanapata wabunge wa kuwatetea, bila hivyo haya mateso yatazidi kuongezeka maradufu
[emoji23][emoji23][emoji23]Tena anafrash kwa sanitaiza kabisaYule wa Mbeya nilimuona nae anakula na wanyonge.
Wakitoka hapo wanakwenda kuflash tumbo.
Sure, silipendi hili jina hata kidogo.Alafu hilo jina tunalo itwa na hao ccm, halifai kabisa maana unyonge siyo sifa kabisa.
Linatudhalilisha sana
Bona hakuwa na diwani wa CCM hata mmoja . Huijui segerea weweBona kalua wa segerea alidanganywa kutopeleka maendeleo kata za wapinzani akuzichanganya za kuambiwa,akawabagua mitaa ya wapinzani Hadi kuwaambia si mlichagua madiwani wapinzani,leo anakwangua mabarara Hadi uchochoroni sababu ya kampeni, mitaa Ile Ile aliyoibagua ya wapinzani,hio mitaa nao wamesema ulitubagua 5 yrs nasi tunakubagua kipindi hiki.Anaweza akashinda kata alizowaletea maendeleo akaangushwa na kata alizozibagua.Hivo hivo kwa mzee meko.Funzo unapowatendea maendeleo watu bila kuwabagua kisa tu walichagua upinzani nao watakubagua utakapotaka kura zao.Rafiki wa kweli kwenye dhiki
Fungueni Akili kwanza, hiyo ndio heshima na thamani ya utu wako.Hamtaki tufungue kinywa na Mbunge basi njoo nyie kenge watu.
Kama linakufaa kwann usiitweSure, silipendi hili jina hata kidogo.