Wabunge wa CANADA wakutana na wabunge wa Tanzania ; Kufanya majadiliano. Tz ikiongozwa na Mb .Chegeni

R.B

JF-Expert Member
May 10, 2012
6,296
2,573
upload_2017-8-23_16-24-20.jpeg

Dr Raphael Chegeni akiwakilisha wabunge waTanzania wamekutana na wabunge wa jumuiya ya Madola toka Canada. Wamefanya maongezi ofisi ndogo ya Bunge Dar es salaam
PIC%2B3.JPG

Dr Chegeni akipokea zawadi kutoka kwa Yasmin Ratansi. Baada ya mazungumzo baina ya wabunge hao.
 
Yasmine
View attachment 573335
Dr Raphael Chegeni akiwakilisha wabunge waTanzania wamekutana na wabunge wa jumuiya ya Madola toka Canada. Wamefanya maongezi ofisi ndogo ya Bunge Dar es salaam
PIC%2B3.JPG

Dr Chegeni akipokea zawadi kutoka kwa Yasmin Ratansi. Baada ya mazungumzo baina ya wabunge hao.
Yasmini Ratansi alizaliwa Tanzania - Dar akahamia Canada 1974.
Dada usitusaliti manake sisi wabongo tunaongoza kwa kusalitiana!
 
Back
Top Bottom