R.B
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 6,296
- 2,573
Dr Raphael Chegeni akiwakilisha wabunge waTanzania wamekutana na wabunge wa jumuiya ya Madola toka Canada. Wamefanya maongezi ofisi ndogo ya Bunge Dar es salaam
Dr Chegeni akipokea zawadi kutoka kwa Yasmin Ratansi. Baada ya mazungumzo baina ya wabunge hao.