wabunge UDSM wapitisha Mgomo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

wabunge UDSM wapitisha Mgomo

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by TwendeSasa, Nov 7, 2008.

 1. T

  TwendeSasa Senior Member

  #1
  Nov 7, 2008
  Joined: May 24, 2008
  Messages: 128
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Hatimaye bunge la wanafunzi chuo kikuu cha dar es salam limepitisha mgomo usiokuwa na kikomo kuanzia Jumatatu

  Habari zilizotapakaa hapa chuo ni kwamba mgomo huo umekubaliwa na wabunge walio wengi baada ya wabunlge kudai wanafunzi walio wengi wanataka kugoma

  Jana wanafunzi waligawanyika katika makundi mawili ambao wengine walitaka kugoma jana na wemgine ambao wengi wanadai wahakuwa na taaria ambao wengi wao walikuwa wanafunzi Coet

  katika mkutano wa SLAB ( sehemu ambao wahandisi wa coet hukutana) wanafunzi hao waliwalalamikia viongozi wao kutowapa taarifa hali iliyosababishwa mwenzao watatu kuumizwa baada ya kuoneka hawasapot mgomo
  Baadhi ya wanafunzi walioongea kwenye slab hiyo walionyesha kuchukizwa na hali ya viongozi wao kufanya mambo bila kutoa taarifa
  lengo La mgomo ni kuishinikiza Serikali itoe makundi katikia mkopo wanawapatia wanafunzi hao na iwakopeshe asilimia mia moja
   
 2. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #2
  Nov 7, 2008
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Wana haki kabisa kugoma.
  Kama mafisadi tunaona wanapeta na wanabembelezwa kwa nini wao wasigome?
  Gomeni ili vizazi vijavyo vinufaike kwa kupigania haki.
   
 3. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #3
  Nov 7, 2008
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Mkuu Fidel, na huo muziki wako mkubwa nadhani ujumbe umewafikia kwa uzuri kabisa
   
 4. Pundit

  Pundit JF-Expert Member

  #4
  Nov 7, 2008
  Joined: Feb 4, 2007
  Messages: 3,741
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  I feel for these students, the conditions as described by some of our members are horrid.
  Isn't there a better way to raise awareness than a strike? What about demonstrations? I am concerned that at the end of the day they will end up holding the blade while the bigwigs will have the handle of the knife.

  On top of that there is evidence of an unhealthy degree of disorganization and coercion on the part of those organizing the strike.This is not only unfair to those wanting no part in the strike, it is also bullyish and undemocratic.
   
 5. Opaque

  Opaque JF-Expert Member

  #5
  Nov 7, 2008
  Joined: Oct 24, 2008
  Messages: 1,138
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Inavyoelekea CoET wanaplay big role katika kufanikisha migomo! Ina maana hiyo jana mgomo ulishindikana kwa kuwa wao walikosa taarifa? Wengine je, peke yao hawawezi?
   
 6. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #6
  Nov 7, 2008
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Taifa la migomo na maandamano!!!!
   
 7. T

  TwendeSasa Senior Member

  #7
  Nov 7, 2008
  Joined: May 24, 2008
  Messages: 128
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  mm nazani pia mkuu
   
 8. Kevo

  Kevo JF-Expert Member

  #8
  Nov 7, 2008
  Joined: Jun 12, 2008
  Messages: 1,332
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Diplomacy in Tanzania is no Option!
   
 9. Suki

  Suki JF-Expert Member

  #9
  Nov 7, 2008
  Joined: Nov 20, 2007
  Messages: 373
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Kwa muonekano wa haraka,
  Hawa watu wanatumia muda mrefu zaidi kugoma kuliko kwenye masomo.
  Taifa,tunaandaa wasomi wa aina gani?
   
 10. Z

  ZeMarcopolo JF-Expert Member

  #10
  Nov 7, 2008
  Joined: May 11, 2008
  Messages: 13,589
  Likes Received: 480
  Trophy Points: 180
  Imeshadhihirika kuwa migomo hiyo siyo utatui wamatatizo ya wanafunzi, je ni kwanini wanafunzi hawa hawalioni hili. Kama wasomi kwanini hawabuni solution ya kudumu .Na kama wao wanafunzi hawawezi kufanya hivyo ni kwanini wakufunzi wao wasiwasaidie kubuni solution ya kudumu. Nitawaambia kitu kimoja tu wanafunzi wa UDSM na vyuo vingine Tanzania: msidhani wanafunzi wa vyuo vya Ulaya na vingine Tanzania kama Tumaini ambao hawagomigomi wanaridhika na kila linalofanyika nchini, lakini wanatambua kuwa kugoma kusoma ni kudhirisha kutoheshimu thamani ya elimu.Kingiine ninachoshindwa kuelewa ni kwamba nyinyi mnagoma kusoma huku mkidai kusomeshwa, sasa nyinyi kweli madai yenu ni kusomeshwa au jambo jingine. Ushauri kwa uongozi wa chuo ni huu: hicho chuo msikiendeshe kisiasa. Jiulizeni swali moja,je ni nini kitawatokea wanafunzi wa Tanzania wanaosoma oxford Uingereza iwapo leo hii watagoma kuingia darasani kwa sababu hawajapewa mikopo na serikali yao toka Tanzania? Hicho kiendesheni kama taasisi inayojitegemea na ipeni taaluma heshima yake inayostahili, yeyote anayeidhalilisha taaluma ni adui wa mankind na mshughulikieni ipasavyo bila kukumbatia siasa.
   
 11. H

  Hofstede JF-Expert Member

  #11
  Nov 7, 2008
  Joined: Jul 15, 2007
  Messages: 3,584
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 0
  Kunji mbona limeanza mapema sana, au kuna watu wamedisco baada ya supplementary Exam results?.
   
 12. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #12
  Nov 10, 2008
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 11,578
  Likes Received: 3,876
  Trophy Points: 280
  Mgomo umeshaanza leo UDSM!!!!!!!! KUNA YEYOTE MWENYE MAELEZO ZAIDI
   
Loading...