Wabunge Kenya wapigana bungeni

Juzi tuu mbunge wa upinzani kamtukana rais wa kenya kuwa ni mshenzi zaidi ya mara tatu! Sijui ww ungetoa neno gani? Lakini mwenye nchi Kenyatta kajibu kasema its freedom of speech! Yaani huyu jamaa wa mda huu sijui kawashikia akili zenu mi hata siwaelewi!
Thats not freedom of speech its freedom of insult.
 
Baada ya kupigana na kutoka
Faida gani wameipata!!!
January Wakati Maandamano ya wiki mzima yataanza utayaona Faida yao Kama unadhani Ile maandamano ya IEBC yalikuwa Makubwa ngojeni muone ya January mshangae

Moses Kuria wa Jubilee ampiga Sumra

1482434802188.png
1482434857372.jpg
1482434877851.jpg
 
Hawa jamaa wanafurahisha mno, kutwa mayowe humu wanadai wana katiba nzuri Africa na ulaya yote ila maandamano na kuzichapa ni daily. Kweli siasa za Africa ni pasua kichwa..
 
Back
Top Bottom