Wabunge Kenya wapigana bungeni

abena

Member
Oct 26, 2016
41
125
Wabunge wa upinzani nchini Kenya wametoka bungeni kwa hasira katika mji mkuu wa Nairobi, wakisema kuwa baadhi yao walinyanyaswa bungeni mapema asubuhi.

Kikao hicho maalum ambacho vyombo vya habari havikuruhusiwa kuingia kilitarajiwa kupigia kura marekebisho ya sheria ya uchaguzi ambayo inaruhusu kuhesabiwa kwa kura moja baada ya nyingine katika uchaguzi wa urais mwaka ujao badala ya utaratibu wa kutumia majumuisho ya computer. .

Baadhi ya wabunge hao walikuwa wakivuja damu kutokana na kipondo toka kwa wenzao wa chama tawala.

Hii si mara ya kwanza kwa wabunge wa Kenya kupigana bungeni. Ni aibu kwa wawakilishi wa wananchi kupigana bila aibu.


Chanzo:
BBC swahili
 

Gangongine

JF-Expert Member
Dec 31, 2015
3,856
2,000
Wabunge wa upinzani nchini Kenya
wametoka bungeni kwa hasira katika mji mkuu wa Nairobi, wakisema kuwa baadhi yao walinyanyaswa bungeni mapema asubuhi..

Kikao hicho maalum ambacho
vyombo vya habari havikuruhusiwa
kuingia kilitarajiwa kupigia kura
marekebisho ya sheria ya uchaguzi
ambayo inaruhusu kuhesabiwa kwa kura moja baada ya nyingine katika uchaguzi wa urais mwaka ujao badala ya utaratibu wa kutumia majumuisho ya computer. .
Baadhi ya wabunge hao walikuwa wakivuja damu kutokana na kipondo toka kwa wenzao wa chama tawala.

Hii si mara ya kwanza kwa wabunge wa Kenya kupigana bungeni. Ni aibu kwa wawakilishi wa wananchi kupigana bila aibu..
Source bbc swahili
Ndunga zao!!
 

Crucial Man

JF-Expert Member
Jan 11, 2011
3,406
2,000
Ngoja niwai home kumcheki citizen TV, NTV nk, nimejaribu kiperuz kwenye website zao sijaona wapi wamepiga, ila wabunge wa upinzani walitoka nje ya Bunge.
Narudi ku comment nikishapata habari kamili, nilichoona kwenye Web zao ni kwamba wapinzani wamejipanga kuingia barabarani ku hold peaceful mass demonstration mwakani tarehe nne.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom