Wabunge hawa wakirudi bungeni 2020 naacha siasa

utukufu mwanjisi

utukufu mwanjisi

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2017
Messages
882
Likes
693
Points
180
utukufu mwanjisi

utukufu mwanjisi

JF-Expert Member
Joined Aug 19, 2017
882 693 180
Kutokana na tafiti zangu na washirika wangu wa karibu tumekaa na kujiridhisha kuwa wabunge hawa wakirud bungeni 2020 nipo tayari Kuachana na siasa mana nina asilimia 100% hamna namna ya kurudi kutokana na sababu zifuatazo;

●Mdee ~huyu hamna kitu jimboni mana hata kuonekana haonekani kazi yake kushinda twitter kukosoa serikali hata kwa mema huku kawatupa wananchi wake, pia wananchi wanalalamika kwa ajili yake hawaoni msaada kule jimboni hata maendeleo yanayotakana na mfuko wa jimbo hawayaoni.

●Kubenea ~huyu ni mbunge wang lakin ukija kwenye maendeleo ni zero kabisa nimejaribu kukaa na wananchi wenzang wengi wanasema hawaelew kazi waliyompa anaifanyia wap mana hawajawah mbunge wao hata kuwatembelea kuuliza matatizo ya wananchi, lingine kampa wakati mgumu sana diwani wa kata yetu mpaka wananchi wamemtuma diwani amfikishie taarifa kuwa 2020 anaweza kuendelea na kazi yake ya uandishi wa habari.

●Mbilinyi ~huyu ndo basi tena mana moja kapewa kisiki (Dr Tulia),pili maendeleo ndo anayakumbuka wakati muda ushamtupa mana miaka 8 yote kazi yake ilikuwa ni tambo nyingi ambazo hazikuwa na faida kwa wananchi, sasa washakuwa na hasira nae sijui atawaambia nini wananchi wa mbeya mjini, tatu wafanyabiashara wakubwa mjini mbeya washaamua mana wameona ni mtu ambae anaichelewesha mbeya kwenye maendeleo.

●Heche ~huyu anapelekewa kisiki cha ukonga hapo, mana nae kwa taarifa tulizonazo kutoka kwa wanazengo ni mbunge kiburi sana kwa wananchi wake, haraf kazi yake kushinda Dar na kuwasahau wananchi kule wapiga kula washaapa wanamngoja kwa hamu 2020.

●Lema ~huyu mzee wa matukio nae 2020 kwaheri, mana kabaki na siasa za kipindi cha mheshimiwa kikwete(kipenz cha watanzania),wakati hiki ni kipind ambacho ukishindwa kwenda na kasi kaa pembeni, wananchi wanamlalamikia hawaelew mbunge wao kazi yake ni ipi.

●Msigwa ~huyu mzee wa kulalamika nae 2020 kwaheri mana kazi anazozifanya mzee wang Mahiga kulisaidia taifa ana sifa zote za kupewa majukumu ya kuwatumikia wananchi wa iringa, pia tafiti zetu zinasema kazi hafanyi ila kakalia kulalamikia viongoz wa serikali kuwa anahujumiwa..lakin wananchi wa washasema wamechezewa inatosha. Ko apewe taarifa asithubutu hata kutaka kugombea tena

NB;
-Zitto kabwe, anaweza kurudi bungeni mana ni mwanasiasa ambae anaweza kucheza na wakati uliopo, pia mbinu zake za kuhamahama majimbo zitambeba mana amegundua kuwa ananyota ya kupendwa na wananchi kiufupi ni mbunge wa taifa anaweza chukua jimbo popote anapotaka.

-Joseph haule, mbunge ambae tumemfuatilia nyendo zake sana jimboni kwake lakin tumekuja na maoni kuwa anarudi kutokana na ukaribu na wananchi anaowaongoza pia hana siasa za mihemko matukio ni mtulivu katika maamuzi.

-Kilimanjaro, wabunge wao wanaweza kurud bungeni mana kule tumeangalia wengi wananchi ni Ant -government iliyopo kutokana ya kuthirika kwa uchumi unavoendeshwa asaiv so watapiga kura kwa mihemko na ndo maana hata kaka Lema anataka kukimbilia huko baada ya kusoma mchezo ni mgumu kwake pale Arusha.

-Kyela, ingawa mzee ni ndugu yang lakin anaweza akaaga pambano kama ataendelea kung'ang'ania hiko kiti nadhan hili nitaliandikia vizuri mana nazikusanya data vizuri.

Asubuh njema
Mana muda wa kazi huu kama asemavo rais wang
 
mmh

mmh

JF-Expert Member
Joined
Nov 9, 2010
Messages
1,412
Likes
1,494
Points
280
mmh

mmh

JF-Expert Member
Joined Nov 9, 2010
1,412 1,494 280
Piga chini kubenea, mpaka sasa jimbo halina MTU, ameshindwa kujikomba hata atengenezewe kabarabara kalami na manispaa kupitia Tarura hata km 1!! Na viroba kwanza hamna, kwa hiyo hatutategemea ushabiki ndala kama wa mpira
 
PHILIPO GIDEON

PHILIPO GIDEON

Member
Joined
Sep 13, 2017
Messages
5
Likes
6
Points
5
PHILIPO GIDEON

PHILIPO GIDEON

Member
Joined Sep 13, 2017
5 6 5
Kutokana na tafiti zangu na washirika wangu wa karibu tumekaa na kujiridhisha kuwa wabunge hawa wakirud bungeni 2020 nipo tayari Kuachana na siasa mana nina asilimia 100% hamna namna ya kurudi kutokana na sababu zifuatazo;

●Mdee ~huyu hamna kitu jimboni mana hata kuonekana haonekani kazi yake kushinda twitter kukosoa serikali hata kwa mema huku kawatupa wananchi wake, pia wananchi wanalalamika kwa ajili yake hawaoni msaada kule jimboni hata maendeleo yanayotakana na mfuko wa jimbo hawayaoni.

●Kubenea ~huyu ni mbunge wang lakin ukija kwenye maendeleo ni zero kabisa nimejaribu kukaa na wananchi wenzang wengi wanasema hawaelew kazi waliyompa anaifanyia wap mana hawajawah mbunge wao hata kuwatembelea kuuliza matatizo ya wananchi, lingine kampa wakati mgumu sana diwani wa kata yetu mpaka wananchi wamemtuma diwani amfikishie taarifa kuwa 2020 anaweza kuendelea na kazi yake ya uandishi wa habari.

●Mbilinyi ~huyu ndo basi tena mana moja kapewa kisiki (Dr Tulia),pili maendeleo ndo anayakumbuka wakati muda ushamtupa mana miaka 8 yote kazi yake ilikuwa ni tambo nyingi ambazo hazikuwa na faida kwa wananchi, sasa washakuwa na hasira nae sijui atawaambia nini wananchi wa mbeya mjini, tatu wafanyabiashara wakubwa mjini mbeya washaamua mana wameona ni mtu ambae anaichelewesha mbeya kwenye maendeleo.

●Heche ~huyu anapelekewa kisiki cha ukonga hapo, mana nae kwa taarifa tulizonazo kutoka kwa wanazengo ni mbunge kiburi sana kwa wananchi wake, haraf kazi yake kushinda Dar na kuwasahau wananchi kule wapiga kula washaapa wanamngoja kwa hamu 2020.

●Lema ~huyu mzee wa matukio nae 2020 kwaheri, mana kabaki na siasa za kipindi cha mheshimiwa kikwete(kipenz cha watanzania),wakati hiki ni kipind ambacho ukishindwa kwenda na kasi kaa pembeni, wananchi wanamlalamikia hawaelew mbunge wao kazi yake ni ipi.

●Msigwa ~huyu mzee wa kulalamika nae 2020 kwaheri mana kazi anazozifanya mzee wang Mahiga kulisaidia taifa ana sifa zote za kupewa majukumu ya kuwatumikia wananchi wa iringa, pia tafiti zetu zinasema kazi hafanyi ila kakalia kulalamikia viongoz wa serikali kuwa anahujumiwa..lakin wananchi wa washasema wamechezewa inatosha. Ko apewe taarifa asithubutu hata kutaka kugombea tena

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hio ni waupinzani tu mbna wa tawala hujasema

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Barbarosa

Barbarosa

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2015
Messages
18,517
Likes
18,105
Points
280
Barbarosa

Barbarosa

JF-Expert Member
Joined Apr 16, 2015
18,517 18,105 280
Umewasahau Zito Kabwe na Tundu Lisu hawarudi wote hao.
 
F

fikirikwanza

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2012
Messages
6,596
Likes
664
Points
280
F

fikirikwanza

JF-Expert Member
Joined Jan 25, 2012
6,596 664 280
MBONA wote wa chama kimoja? AU wale wa CCM, TLP na CUF wote wako vizuri?

Angalia usije ukawa wewe ndio mjinga unahitaji kuelemishwa, KAWE utuache kabisa na huyu jembe/dada yetu.

Asante

Kutokana na tafiti zangu na washirika wangu wa karibu tumekaa na kujiridhisha kuwa wabunge hawa wakirud bungeni 2020 nipo tayari Kuachana na siasa mana nina asilimia 100% hamna namna ya kurudi kutokana na sababu zifuatazo;

●Mdee ~huyu hamna kitu jimboni mana hata kuonekana haonekani kazi yake kushinda twitter kukosoa serikali hata kwa mema huku kawatupa wananchi wake, pia wananchi wanalalamika kwa ajili yake hawaoni msaada kule jimboni hata maendeleo yanayotakana na mfuko wa jimbo hawayaoni.

●Kubenea ~huyu ni mbunge wang lakin ukija kwenye maendeleo ni zero kabisa nimejaribu kukaa na wananchi wenzang wengi wanasema hawaelew kazi waliyompa anaifanyia wap mana hawajawah mbunge wao hata kuwatembelea kuuliza matatizo ya wananchi, lingine kampa wakati mgumu sana diwani wa kata yetu mpaka wananchi wamemtuma diwani amfikishie taarifa kuwa 2020 anaweza kuendelea na kazi yake ya uandishi wa habari.

●Mbilinyi ~huyu ndo basi tena mana moja kapewa kisiki (Dr Tulia),pili maendeleo ndo anayakumbuka wakati muda ushamtupa mana miaka 8 yote kazi yake ilikuwa ni tambo nyingi ambazo hazikuwa na faida kwa wananchi, sasa washakuwa na hasira nae sijui atawaambia nini wananchi wa mbeya mjini, tatu wafanyabiashara wakubwa mjini mbeya washaamua mana wameona ni mtu ambae anaichelewesha mbeya kwenye maendeleo.

●Heche ~huyu anapelekewa kisiki cha ukonga hapo, mana nae kwa taarifa tulizonazo kutoka kwa wanazengo ni mbunge kiburi sana kwa wananchi wake, haraf kazi yake kushinda Dar na kuwasahau wananchi kule wapiga kula washaapa wanamngoja kwa hamu 2020.

●Lema ~huyu mzee wa matukio nae 2020 kwaheri, mana kabaki na siasa za kipindi cha mheshimiwa kikwete(kipenz cha watanzania),wakati hiki ni kipind ambacho ukishindwa kwenda na kasi kaa pembeni, wananchi wanamlalamikia hawaelew mbunge wao kazi yake ni ipi.

●Msigwa ~huyu mzee wa kulalamika nae 2020 kwaheri mana kazi anazozifanya mzee wang Mahiga kulisaidia taifa ana sifa zote za kupewa majukumu ya kuwatumikia wananchi wa iringa, pia tafiti zetu zinasema kazi hafanyi ila kakalia kulalamikia viongoz wa serikali kuwa anahujumiwa..lakin wananchi wa washasema wamechezewa inatosha. Ko apewe taarifa asithubutu hata kutaka kugombea tena

Sent using Jamii Forums mobile app
 
G

gongolamboto

JF-Expert Member
Joined
Feb 21, 2011
Messages
828
Likes
278
Points
80
G

gongolamboto

JF-Expert Member
Joined Feb 21, 2011
828 278 80
Ingekuwa unayoyaongea ni kweli basi hata serikali ingeweka mazingira sawa ya ushindani na kukubali kutangaza mshindi halali aliyeshinda.
Kwenye siasa hakuna kitu kama hicho. Hata wao walishinda kwa hila
 
Chakaza

Chakaza

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2007
Messages
27,805
Likes
32,069
Points
280
Chakaza

Chakaza

JF-Expert Member
Joined Mar 10, 2007
27,805 32,069 280
Kutokana na tafiti zangu na washirika wangu wa karibu tumekaa na kujiridhisha kuwa wabunge hawa wakirud bungeni 2020 nipo tayari Kuachana na siasa mana nina asilimia 100% hamna namna ya kurudi kutokana na sababu zifuatazo;

●Mdee ~huyu hamna kitu jimboni mana hata kuonekana haonekani kazi yake kushinda twitter kukosoa serikali hata kwa mema huku kawatupa wananchi wake, pia wananchi wanalalamika kwa ajili yake hawaoni msaada kule jimboni hata maendeleo yanayotakana na mfuko wa jimbo hawayaoni.

●Kubenea ~huyu ni mbunge wang lakin ukija kwenye maendeleo ni zero kabisa nimejaribu kukaa na wananchi wenzang wengi wanasema hawaelew kazi waliyompa anaifanyia wap mana hawajawah mbunge wao hata kuwatembelea kuuliza matatizo ya wananchi, lingine kampa wakati mgumu sana diwani wa kata yetu mpaka wananchi wamemtuma diwani amfikishie taarifa kuwa 2020 anaweza kuendelea na kazi yake ya uandishi wa habari.

●Mbilinyi ~huyu ndo basi tena mana moja kapewa kisiki (Dr Tulia),pili maendeleo ndo anayakumbuka wakati muda ushamtupa mana miaka 8 yote kazi yake ilikuwa ni tambo nyingi ambazo hazikuwa na faida kwa wananchi, sasa washakuwa na hasira nae sijui atawaambia nini wananchi wa mbeya mjini, tatu wafanyabiashara wakubwa mjini mbeya washaamua mana wameona ni mtu ambae anaichelewesha mbeya kwenye maendeleo.

●Heche ~huyu anapelekewa kisiki cha ukonga hapo, mana nae kwa taarifa tulizonazo kutoka kwa wanazengo ni mbunge kiburi sana kwa wananchi wake, haraf kazi yake kushinda Dar na kuwasahau wananchi kule wapiga kula washaapa wanamngoja kwa hamu 2020.

●Lema ~huyu mzee wa matukio nae 2020 kwaheri, mana kabaki na siasa za kipindi cha mheshimiwa kikwete(kipenz cha watanzania),wakati hiki ni kipind ambacho ukishindwa kwenda na kasi kaa pembeni, wananchi wanamlalamikia hawaelew mbunge wao kazi yake ni ipi.

●Msigwa ~huyu mzee wa kulalamika nae 2020 kwaheri mana kazi anazozifanya mzee wang Mahiga kulisaidia taifa ana sifa zote za kupewa majukumu ya kuwatumikia wananchi wa iringa, pia tafiti zetu zinasema kazi hafanyi ila kakalia kulalamikia viongoz wa serikali kuwa anahujumiwa..lakin wananchi wa washasema wamechezewa inatosha. Ko apewe taarifa asithubutu hata kutaka kugombea tena

Sent using Jamii Forums mobile app
Nina tafuta kijana wa kazi ya kuuza dukani/ kuangalia mifugo, jee unaweza kuja kujaza nafasi hiyo? mshahara ni mnono na chakula cha mchana utapata hapohapo kazini.
Nimegundua kazi ya kufanya huna ila kiasi Fulani uwezo unao kichwani lakini unautumikisha kwa buk 7 bila kupenda. Nione inbox kijana! kidogo kidogo utatoka tuu.
 
Abu_yazid

Abu_yazid

JF-Expert Member
Joined
Mar 28, 2014
Messages
2,175
Likes
1,919
Points
280
Abu_yazid

Abu_yazid

JF-Expert Member
Joined Mar 28, 2014
2,175 1,919 280
Yaani na wewe unategemea kabisa kwa dhati kabisa.... Eti ccm (serikali) wasapoti maendeleo ya majimbo ya wapinzani ambao ni wasumbufu kwao ili wazidi kutawala hayo majimbo....???

Sahau kabisa katika maisha yako....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
M

Mzinza wa town

JF-Expert Member
Joined
Mar 15, 2018
Messages
225
Likes
212
Points
60
M

Mzinza wa town

JF-Expert Member
Joined Mar 15, 2018
225 212 60
utukufu mwanjisi

utukufu mwanjisi

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2017
Messages
882
Likes
693
Points
180
utukufu mwanjisi

utukufu mwanjisi

JF-Expert Member
Joined Aug 19, 2017
882 693 180
Piga chini kubenea, mpaka sasa jimbo halina MTU, ameshindwa kujikomba hata atengenezewe kabarabara kalami na manispaa kupitia Tarura hata km 1!! Na viroba kwanza hamna, kwa hiyo hatutategemea ushabiki ndala kama wa mpira
Labda Jacob aje ambadili ndo ataweza kuleta ushindan kwa Ccm

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Forum statistics

Threads 1,251,672
Members 481,836
Posts 29,779,976