Wabunge hawa hawatarudi Bungeni 2015

Wabunge hawa hawatarudi Bungeni 2015

Status
Not open for further replies.
Huyu mtoa mada atakuwa ametoboa seng'enge za MILEMBE. halafu hawa watu wa milembe mbona siku hizi wanaongezeka sana mitaani? Kuna nini huko milembe mpaka watu wenu wanawakimbia??
 
Hivi Kiwia ana ubavu wa kupambana na Diallo Ilemela au tunabwabwaja bila ya kujua
2010 nani alimbwaga mwenzio? au hilo nalo ulioni? huyo dialo yeye ndo pekee au hizo pesa zake wewe ndo zinakuzuzua?
 
Hivi Kiwia ana ubavu wa kupambana na Diallo Ilemela au tunabwabwaja bila ya kujua
Mkuu inaonekana hujielewi waongea vitu gani? Kwani Kiwia kalichukua jimbo la Ilemela kutoka mikononi mwa nani?
2010 Kwa mkono wake Diallo alisaini kukubali matokeo kuwa Kiwia ndio mbunge wake wa Ilemela
 
Hii nayo ni ndoto tu kama ile ya Ambilikile Mwaisapile
 
Anna Makinda.
Job Ndungai
Lusinde
January
Wassira
Nchemba na wengineo wengi umesahau maana 2015 CCM ndo itakuwa chama cha upinzani

Topic yake inahusu wabunge wa Upinzani sasa wewe unataja wa CCM maana yake nini?!,hawa wa CCM tulishataja humu ambao hawatarudi miongoni mwao wapo hao uliowataja wengine kwa hiari yao na wengine kwa kulazimishwa,funguka akili kidogo mkuu halafu uwe unatunza kumbukumbu!!!!!.
 
Ni wendawazimu kufkria kuwa ukitaja taja wapinzani wako ndio nusra yako ama uhai wako katka siasa,unawezaje kufkiria kuwa wabunge wa upinzani tena wale wanaosababisha watz wenye akili timamu waliangarie bunge kwani wabunge wengi wa ccm hawajui nini majukum yao,mbunge kama wasira ambaye ni waziri kwake kuna shule hazna choo na wilaya ni kwanza kwa umaskini badala ya kupoteza mda kujadiri chadema jaribuni kutafuta ufumbuzi wa matatizo ya wananchi.
 
Watu kuishi kwa Tshs. 600 kwa siku sio kigezo toshelezi kusema kuwa wana maisha magumu, hii ni kwa sababu wananchi wengi wa kijijini hawatumii fedha kwa kiasi kikubwa katika mahitaji yao, mfano mdogo tu, mtu anaelima bustani yake na akaweka mihogo na ikikomaa anachemsha maisha yanaenda, hawa ndio wamejaa huko mikoani, awahitaji fedha kwa kiasi kikubwa ili kuendesha maisha. Hemu elewa hili mkuu na wote wenye fikra kama zako.

ctak ban ila we ni mpumbavu sana,
yan wewe hata kaburin haufai kabisa.na nyie ndo hamjui hata jinsi Gan watanzania wanavyoteseka mnaishia nyumba za viyoyoz kwa pesa ya wananchi.
Tafuta hesabu ya hivi vitu;
-sabun kipande 500/=
-chumvi mfuko mdogo 300/=
- kiberti 50/=
-mafuta ya taa ...
Afu unasema mtu anaweza kuish kwa 600/=
kafie cjui wap!
 
Hivi Kiwia ana ubavu wa kupambana na Diallo Ilemela au tunabwabwaja bila ya kujua ushindi wake ulitokana na nn?

wewe ..........nini dialo au huna macho na masikio ,,,,,,,,arumeru jamaa alipigwa chini pamoja na baba mkwe wake .....fisadi papa la nchi hii au umesahau

 
Kumbe hata c1 ya bugando host iko humu jf? !!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!.
 
Wanawake wengine wana akili timamu. Huyu atubera vipi?
Kwani jf haina hospitali ya vichaa walioshindikana milembe?
 
Wakuu manahangaika na uzi wa mwajiriwa wa lumumba,kwao kina chomata ni kutupia bandiko bila kupima chochote,na nilichokigundua hapa kawataja wabunge ambao wamepewa likizo ya siku tano na Ndugai lakini madhara yake wameshaanza kuyaona.maana wanachana ile mbaya.na hapa kwataja wote kasoro Mnyika na Ndesa pesa kama kupotezea tu.
 
Bahati mbaya sana utawahi kupiga kura 2015, kwa hiyo huna haki ya kuweka uzi ambao hauna mashiko kwako
 
Asante ndg yetu!Nilikuwa najiuliza mikoba ya sheikh Yahya karithishwa nani ,sasa nimepata jibu! Huo utabiri wako unaweza kutuambia wale wa CCM watakaorudi ni kina nani?!Wale wa Chadema watashindwa kwa kura ngapi?Hiyo vita ya Masha na Diallo ilitokana na nini-sasa imeisha?!Umeongea na wapiga kura kudhihirisha hilo?!Kwa akili ndogo,umejiridhisha kwamba Nape anaweza kumshinda Mnyika siyo-labda wakishindania kuropoka!

Kuhusu afya ya mzee Ndesa,umeitabiri hivyo?!Hivi,pamoja na uzee wake aliwahi kudondoka jukwaani?
Unapatikana wapi-nataka unitabirie majina ya viongozi wa SERIKALI YA CCM watakaofariki mwaka huu baada ya kutengewa sh.bilioni moja ili nitunge mashairi Kapteni Komba asije nipiga nje!Nitashukuru sana!
 
naskia wenztu mnafanya biashara kila mnavyo post habar za kuiponda chadema
 
Uganga wa kienyeji umeuanza lini..........yani ni sawa na kusema aduai yako muombee njaa.
 
Mkuu mimi naona ungekamilisha list kama ungemaliza na Mhe. Mbowe, huyu jamaa wananchi wa Hai walikuwa hawajui kama kala sifuri kidato cha sita (6), sasa wamejua na wamechachamaa kwelikweli, wamesema hata awape Bilicans bungeni awamrudishi.

kama ana zero mbona kawazidi hoja maprofesa na maDr. wa ccm hata ktk kuleta maendeleo ktk majimbo yao? Nadhani zero yake ina uwezo mkubwa zaidi ya maDr. 10 wa ccm
 
Ni kweli hawatarudi kama wa bunge bali kama mawaziri wa serikali ya chadema asante sana mwanamama
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom