Wabunge hawa hawatarudi Bungeni 2015

Wabunge hawa hawatarudi Bungeni 2015

Status
Not open for further replies.
unamjua Wenje au unamsikia?! Acha 'ukiwavi' mkuu.
 
Siyo kwamba nimekubaliana nawe ndo nikakupongeza...., No! Ni jinsi unavyoyaogopa haya majembe.
 
Anza kujadili kwanza tutaondoaje umasikini kwa hawa raia wetu wanao ishi kwa Tsh 650 kwa siku na ni kwanini serikali ambayo imeaminiwa miaka 50 imeshindwa kutoondolea hilo, ni yupi inatakiwa awe wa kwanza kuondolewa yule aliyepewa miaka hamsini akaishia kutengeneza watu kama wewe wanaofikiria kwa matumbo baadala akili kwasababu unaamini propoganda ndizo zinatatua matatizo.

Ni vizuri tukajitofautisha na kina Lusinde na mwigulu na wenzake kwa kuwambia nini hasa inatakiwa kifanyike kututoa hapa tulipo kuliko kuendelea kuwatumbukiza watu kwenye umasikini usio na kifani wakati wamekalia kila aina ya utajiri

Watu kuishi kwa Tshs. 600 kwa siku sio kigezo toshelezi kusema kuwa wana maisha magumu, hii ni kwa sababu wananchi wengi wa kijijini hawatumii fedha kwa kiasi kikubwa katika mahitaji yao, mfano mdogo tu, mtu anaelima bustani yake na akaweka mihogo na ikikomaa anachemsha maisha yanaenda, hawa ndio wamejaa huko mikoani, awahitaji fedha kwa kiasi kikubwa ili kuendesha maisha. Hemu elewa hili mkuu na wote wenye fikra kama zako.
 
Mi nadhani unamaanisha hao uliowataja watapata ushindi wa kishindo majimboni kwao, hii ni kutokana na wanavyowatetea watz wote ukiwemo na wewe.
 
Yaani dada Atubela,ndio uwezo wako wa kufikiri umefikia hapo?
 
Last edited by a moderator:
Freedom of speech! Kila mtu mwenye mdomo anaweza kusema lolote! Si kusema tuu? Ah!
 
Unadhani kwa kuwataja hapa ndio utapunguza nguvu zao?
 
Yaani mimi napafahamu Moshi ndugu yangu.
Pale ukizungumzia CCM limebaki jina tu na vitega uchumi vyake. Siongei kwa ushabiki kwa sababu sipo CCM wala Sipo Chadema. Akiondoka mzee Ndesa wale watu wa pale watachagua chama cha Chadema na sio mtu.
Na ni sababu Chadema ina nguvu sana kuliko chama chochote pale.
Na hata Cirily Chami naye sidhani kama ataweza kusurvive 2015 pale.
Na kwa Ubungo ninachojua ni kuwa Mnyika ana nguvu sana na Chadema ina nguvu sana.
TUZUNGUMZE KWA FACTS NA SIO KWA USHABIKI.
Ni kama Vunjo pale Mrema ana nguvu sana yeye kama yeye sidhani kama TLP ina nguvu yoyote

Umesema kweli tupu,nimeamini wewe siyo kama huyu mchumia tumbo maana hata kiswahili hajui. ukweli ni kwamba ccm wamepoteza matumaini kabisa. ukienda Mtwara siku hizi huwezi kumuona mtu amevaa ile minguo yao hadharani wanaona aibu.MASASI kule ndio usiseme hakuna mtu anakitaka chama cha mapinduzi. uchguzi ukiitishwa leo chadema watachukua majimbo yote isipo kuwa lile la MHESHIMIWA KATANI. HUKO LINDI HALI NI TETE ZAIDI, CCM wakipata jimbo hata moja watakuwa wana bahati sana.ukweli ni kwamba ccm wanategemea sana sehemu za vijiji ambavyo watu wake hawajaamka vizuri na kuiba kura. siku hizi bila Diamond hawapati watu wa kuwasikiliza,mpaka wanatia huruma.
 
Mambo mengine!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! bora tu nijipitie kmya kmya, thats a wishful thinking on your part
 
Anna Makinda.
Job Ndungai
Lusinde
January
Wassira
Nchemba na wengineo wengi umesahau maana 2015 CCM ndo itakuwa chama cha upinzani

Kwenye red ashanusa tsunami kasema hagombei 2015
 
mjinga wewe akili za kuku hizo majimbo yote hayo kura unapiga wewe au nape ameshakutuma
 
inawezekana upo sawa hao wote hawatarudi ila idadi ya wabunge wa chadema itaongezeka kutoka 50 mpaka 189
 
[JFMP3][/JFMP3]
Mkuu mimi naona ungekamilisha list kama ungemaliza na Mhe. Mbowe, huyu jamaa wananchi wa Hai walikuwa hawajui kama kala sifuri kidato cha sita (6), sasa wamejua na wamechachamaa kwelikweli, wamesema hata awape Bilicans bungeni awamrudishi.

Twambie, Hai walimchagua Mbowe kwa kuzingatia Elimu yake ama alichowafanyia 2000-2005? Ndo tatizo la vijana wasokuwa na historia sahihi na kibaya zaidi wengi wenu mmizijua siasa kipindi cha 2005 ahead au ndani ya Jamii forums.
 
Unajitahidi...naona unafaa kuitwa Bread Thinker!
 
Watu kuishi kwa Tshs. 600 kwa siku sio kigezo toshelezi kusema kuwa wana maisha magumu, hii ni kwa sababu wananchi wengi wa kijijini hawatumii fedha kwa kiasi kikubwa katika mahitaji yao, mfano mdogo tu, mtu anaelima bustani yake na akaweka mihogo na ikikomaa anachemsha maisha yanaenda, hawa ndio wamejaa huko mikoani, awahitaji fedha kwa kiasi kikubwa ili kuendesha maisha. Hemu elewa hili mkuu na wote wenye fikra kama zako.

Mkuu unajua hiyo Tsh 600 (per capital income) inapatikanaje ama unaleta sihasa hapa, hivi unajua kwamba hata hiyo 600 wengi hawawezi kuipata kwa siku na imepatakana tu kwa sababu ya wastani maanake hata hela za AZAM tumegawana tukapata hiyo. hivi unajua hata hao graduate waliojaa hapo jijini dar wakitafuta kazi hawana uwezo wa kuzalisha value ya 650 Tsh lakini tume assume tu.

Unaisemea tanzania ipi ambayo unasema haitoshi kusema watu wana maisha magumu, huamini, hujaona ama ni Lumumba ndo inakufanya uwe hivo
 
makosa mnayofanya kila mara ni kuchukua mawazo yenu kwa utashi wenu kuwa ndiyo ya wapiga kura as great thinker uwezi kuleta urojo.
 
huyo aliyekutuma mwambie wananchi wanasema hatudanganyiki labda sukari,mafuta yakula,sabuni zakufua,virudi elfu.unatumika nini?peo...ples ..power!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom