kumbe ndani ya CCM bado kunawatu wanaakili;.
nikweli mfano nikiangalia akili za aliyekuwa katibu mkuu wa ccm mkama duuu!ila wapo wachache sana na wengine wana akili za msimu
Wapo wengi tu...hujamsikia yule mama anaitwa sijui kitu gani.....Madabida akichangia bungeni kwamba Dar ziongezwe wilaya zingine saba ili kupunguza foleni?kumbe ndani ya CCM bado kunawatu wanaakili;.
heee eeeh kweli hii ndo top layer ya taifa!Wapo wengi tu...hujamsikia yule mama anaitwa sijui kitu gani.....Madabida akichangia bungeni kwamba Dar ziongezwe wilaya zingine saba ili kupunguza foleni?
Wana akili sana hawa!!:lying:
Ccm wamemkosa lema mahakamani watamtafuta bungeni.adhabu aliyotoa mhe.ndugai kwa wabunge wa chadema haikustahili kabisa.lengo ni kupunguza'fire power' ya majembe ya cdm mkae mkijua.hata wakibaki cdm wawili bungeni ccm wajue kuwa cha moto watakiona.nawashangaa ccm.wanawanyanyasa wabunge wanaotetea future ya vijukuu vyao!?duh!
Hata wakiwafukuza bungeni lakini wananchi wanajua kinachoendelea,Watanzania wa leo siyo wale wa mwaka arobaini na saba.Ccm wamemkosa lema mahakamani watamtafuta bungeni.adhabu aliyotoa mhe.ndugai kwa wabunge wa chadema haikustahili kabisa.lengo ni kupunguza'fire power' ya majembe ya cdm mkae mkijua.hata wakibaki cdm wawili bungeni ccm wajue kuwa cha moto watakiona.nawashangaa ccm.wanawanyanyasa wabunge wanaotetea future ya vijukuu vyao!?duh!
Kwa taarifa za uhakika kutoka kwa mwandishi wa habari aliyeko Dodoma, anasema wabunge wa CCM hasa wale wanaojulikana kama wapambanaji wa ufisadi na wengine,wamekuwa na vikao juzi, jana na leo asubuhi wamekubaliana kuwa ni lazima aondoke kwenye unaibu spika kwa vile amekuwa akitumia jazba badala ya kuzingatia kanuni kwa vile hakuna kanuni inayomruhusu spika kumfungia vikao 5 papo kwa papo.
Pia wanadai amewaharibia mkakati wao ambao walikwisha upanga wa kumfungia Lema kufuatia tuhuma za kumsema Rais kuwa ni mdini, wanadai akifungiwa tena ataonekana anaonewa na hivyo kumpandisha juu kisiasa, kilichowaudhi ni pale walipomwita na hakwenda kuwasikiliza zaidi ya kuwaambia kuwa yupo bize na hakuna kanuni iliyovunjwa, pia akasikika akisema kuwa hizo ni fitna za Sitta kukosa uspika.
Leo wamekubaliana kupeleka azimio lao kwa Pinda na Jenister Mhagama kwa hoja kuwa Ndugai kwa kutumia jazba bila kufuata kanuni anasabisha chama kionekane dhaifu kuwa kinaogopa wapinzani hivyo kukifanya kidharauliwe na kuchukiwa na jamii.
Kwa mujibu wa mtoa taarifa maazimio yamewekwa kwa maandishi na wamechaguliwa watu wawili kuyapeleka mbele.
Mchakato unaendelea tusubiri tuone.