Red Scorpion
JF-Expert Member
- Feb 1, 2012
- 5,736
- 4,252
Duu zishaibiwa mara hii?Hawa watakuwa ndo walioiba camera
Heeh hee ulikuwa wapi mkuu mbona siku ile ya majaribio kesho yake halikuamkia na kemera kadha. Natamani wabongo huu ujanja tungeuwekeza kwenye technologia na skils za kubuni vimashine tungekuwa mbali aiseeeDuu zishaibiwa mara hii?
Bakia kwenye kujidanganya na hizo propaganda.Dawa yao inachemka uncle magu tena. Its just a matter of time.
only in TanzaniaHeeh hee ulikuwa wapi mkuu mbona siku ile ya majaribio kesho yake halikuamkia na kemera kadha. Natamani wabongo huu ujanja tungeuwekeza kwenye technologia na skils za kubuni vimashine tungekuwa mbali aiseee
Bakia kwenye kujidanganya na hizo propaganda.
wataalamu wanasema unapochukua uamuzi wa kujenga nyumba ni lazima ujue ni nani atakuja kuishi humo then hapo ndipo unajua aina ya nyumba utakayojenga.
Mleta mada kaandika vizuri sama kuwa 'Wabongo zaidi ya uwajuavyo!', kielelezo kwamba tunataka kuigeuza TZ kuwa ulaya huku tukisahau kuwa wazungu nao walianzia ujima. Kinachotakiwa hapa sio maendeleo ya vitu bali maendeleo ya watu kwanza (akili ya kuwa na hivyo vitu). Inasikitisha lakini ukweli unabakia pale pale kwamba 'what comes first'!
something went wrong ryt here.only in Tanzania
Sure sio bure. Yani lucifer inabidi aende chuo na malaika zake wote wakasome ili kutufikia katika hizi nyanja duh.Atakuwa mwanga huyo