MillionHairs
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 803
- 406
Na wewe umo?Mhhhh mabwaku!!!
Hata mi simo kabisa bana...Yaani ndio maana nimeganda JF coz i feel home here!!Ila nakubaliana na ww kuna watu wanapenda show off!!Na wewe umo?
Good Morning prezdaaa.Ingawa unachosema ni kweli, mimi nasema si wabeba maboksi wote ambao wako hivyo.
Na nisiende mbali. Mimi hapa prezdaa wa wabeba maboksi nikijaga vekesheni bongo huwa sipendi kabisa hata kuongea hicho Kiswahili. Kizungu ndo huwa nakitupa kule.
Kisukuma ndo huwa nakitumia sana na zaidi. Najua mwaweza msiniamini lakini ukweli ndo huo. Ni Kisukuma mwanzo mwisho tena kile cha Ntuzu kabisa.
Lekagi gete ugunigushela unene Nzagamba Ng'wanagingili u Ikungulyabashashi.
Jamani tuache utani baadhi ya Wabongo (waTanzania) waishio nje ya nchi wanamisifa usipime.
Yaani kama umebahatika kutembelea nchi za UK na USA au nchi zinazofanana na hizo nchi basi
utanielewa ninachotaka kuongelea hapa…wakiwa wabongo kwa wabongo wanapenda sana kuzu
ngumza kiswahili na sana sana wakikutana na mtu wa nyumbani (Tanzania) ambaye amekwenda
au umekwenda kwa shughuli zako maramoja basi ndiyo kabisaaa yaani wakikuona tu wanapenda
sana kuzungumza au kuongea kiswahili na wewe.
Ila cha ajabu na kushangaza mtu huyo huyo au watu hao hao warudipo bongo kuja kusalimia ndugu
au kwa majukumu fulani fulani basi hawataki au hataki kabisa kuzungumza kiswahili na badala yake
anaongea ung'eng'e kuanzia mwanzo hadi mwisho au maneno 10 ung'eng'e na mawili kiswahili.
Sasa mimi najiuliza inakuwaje unapokuwa nchi za ung'eng'e unapenda kuongea lugha ya nyumbani
kwenu Tanzania alafu ukirudi Bongo kwa mapumziko ya wiki mbili au mwezi hutaki kuongea kiswahili.
Ukienda shopperz plaza unajifanya yes no,mlimani city yes no,kwenye daladala yes no ukikutana na
washikaji zako wa kitambo yes no nk nk nk.
Sasa hii yote ni nini? ni ushamba au ndiyo unataka tujue kuwa unatoka USA au Ulaya?
Ama kweli baadhi ya wabongo waishio majuu kwa misifa!!?
Good Morning prezdaaa.
Hahahaaa. Acha hizo bana.Good evening to you too Ms. Hottest chick in the game.
Hahahaaa. Acha hizo bana.
What...you blushing now?
:nod::behindsofa:
Ingawa unachosema ni kweli, mimi nasema si wabeba maboksi wote ambao wako hivyo.
Na nisiende mbali. Mimi hapa prezdaa wa wabeba maboksi nikijaga vekesheni bongo huwa sipendi kabisa hata kuongea hicho Kiswahili. Kizungu ndo huwa nakitupa kule.
Kisukuma ndo huwa nakitumia sana na zaidi. Najua mwaweza msiniamini lakini ukweli ndo huo. Ni Kisukuma mwanzo mwisho tena kile cha Ntuzu kabisa.
Lekagi gete ugunigushela unene Nzagamba Ng'wanagingili u Ikungulyabashashi.
Wabunge wanapenda sana kuchanganya lugha...
Lakini, hilo la kutotaka kuongea Kiswahili au la kuchanganya Kiingereza na Kiswahili, kama ni tatizo, basi si tatizo la Wabongo waishio majuu tu.
Kuna wabongo wengi tu ambao hata majuu hawajawahi kufika lakini kila mara hawaishi kuchanganya lugha, hususan wale wasomi wasomi au wale wanaojiona wamesoma soma au wale wanaojiona wako matawi flani kimaisha au wale wanaoiona hiyo lugha ya Kiingereza kuwa ni lugha yenye hadhi ya juu kuliko Kiswahili.
Nani anabisha hilo?
Better. Catch a girl ride a girl:tape:Do you like playing hide and seek or something? What about catch a girl kiss a girl?