vyuku
JF-Expert Member
- Mar 30, 2012
- 503
- 87
Yaani wabongo ni waajabu sana,hukaa na mtu kwa chuki masengenyo na uadui mkubwa sana,lkn pindipo wanaposikia mtu huyo mefariki ndio wa kwanza kujifanya eti anauchungu sana na marehemu huyo kuliko ndugu zake,vilio vya kinafiki na kujipendekeza ili aonekane marehemu alikuwa mtu wake wakatibu sana,kumbe ni unafik mtupu,wacheni hizo bana usiwe double face.