Inside10
Platinum Member
- May 20, 2011
- 34,777
- 42,921
Sasa ile kuvaa miwani meusi ndio idhara ya nini mbona sielewi??
daaah hata mimi huwa najiulza wanamaanisha nn..
Sasa ile kuvaa miwani meusi ndio idhara ya nini mbona sielewi??
chid benz na crew nzima ya clouds fm
Sasa ile kuvaa miwani meusi ndio idhara ya nini mbona sielewi??
Hivi mtu kama Chidi Benz unaweza kumuita mwanamuziki kweli?
ha hah ha ha hah ah ah !! Ni kweli.wanafichaga nyuso zao za kinafiki.!!