Wabongo nimewashindwa

Gwajima mzee wa Helicopter ni balaaa,ile style yake yakusuta madhabauni inawaingia sana watumishi wa mungu.Amepandikiza ile style kwa wapendwa wake
 
Kanisa limegeuka la siasa, pole waumini wake ote maana inaonekana ote ni wapinzani.
Adhabu ya kujihusisha na biashara ya dawa za kulevya unaijuwa? Omba usisingiziwe issue hiyo ! Mwache Gwajima aonyeshe jinsi gani binadamu anaweza kukuzuria jambo zito bila sababu ukaangamia.
 
Adhabu ya kujihusisha na biashara ya dawa za kulevya unaijuwa? Omba usisingiziwe issue hiyo ! Mwache Gwajima aonyeshe jinsi gani binadamu anaweza kukuzuria jambo zito bila sababu ukaangamia.
Lakini kama mtumishi wa Mungu alipaswa kumshukuru Mungu juu ya Hilo, sasa hapo huoni katangaza vitaa?? Kupambana na serikali na yeye mchunga kondoo wa Bwana!!

Gwajima afuate kuhubili injili tu haya mambo aachane nayo.
 
Back
Top Bottom