Wabongo na majina ya kuungaunga

Wabongo na majina ya kuungaunga

pilau

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2012
Posts
1,595
Reaction score
450
  • Jero = 500/=
  • Buku = 1,000/=
  • Msimbazi = 10,000/=
  • Jamaa anakula mzigo wa rafiki yake = jamaa anatembea na mke wa rafiki yake
  • Jamaa anapiga yule demu = jamaa anatembea na yule mwanamke
  • Demu = mwanamke
  • Mshkaji wangu = mtu ninayeelewana naye
  • Mambo mbona poa tu = mambo yako safi
  • Yaani bonge la noma = hali sio swari
  • Longolongo kibao = maneno mengi hakuna msaada
  • Jamaa kaniwekea usiku = jamaa amenikwamisha katika maswala
  • Wanga wengi = kuna watu wasiotakia wenzao mema
  • Jamaa kanipa dili = jamaa kanifanyia mipango ya jambo la maana
  • Jamaa anakula bata = jamaa mambo safi

Endelea hapa.....
 
Jamaa chakula
Jamaa bwabwa
Jamaa punga
 
ni dondoshee mkwanja wangu ki home - niletee hela yangu nyumbani
 
Acha longolongo we sema una sh. Ngap

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Jiti sh 100, muuza chai mwenye maneno mengi, kamgaia shavu - kpa kitu kizuri. Naishia kitaa- naenda mtaani, nakula gud tyme nakula raha
 
Back
Top Bottom