Wabongo na majina ya kuungaunga

Wabongo na majina ya kuungaunga

Jamaa kanichomesha mahindi-kusubiri mtu kwa muda mrefu billa kutokea
 
Kama upepo - mambo shwari

Miamia - shwari

Watu shazi/kibwena - watu wengi

Nyoosha kisigino - ondoka

Kula kona - kukimbia au kuondoka eneo husika

Uchune/potezea - achana nayo

Nipe gwala - kugonganisha mikono

Usinichukulie poa - usinidharau

Sungura tope - mwanamke asiye vutia

Nimeuawa/nipo majalala/ nipo juu ya mawe - sina fedha

Gari mkweche - gari bovu

Kimeo - kitu kibovu

Kicheche - Mwanamke malaya

Maharage ya mbeya - mwanamke asiye jua kukataa akitongozwa

Kausha - kaa kimya/ Achana nayo
 
Back
Top Bottom