Mtu una madeni, kazini boss anakutishia amani, nyumbani ndugu wanakulaumu, mkeo ana gubu, uromantic utatoka wapi lazima husahau hata maana ya uromantic.Ila wabongo mjifunzeni kuwa romantic kwenye mahusiano/ndoa. Penzi linanoga ukiwa romantic bana.
Yaani sijajua sijui ni desturi au ni ushamba yaani unakuta mwanaume unarudi home unamkuta wife jikoni anapika we unaketi sebuleni unasubiri amalize Kupika alafu eti yeye ndo anaanzisha salamu.
Kwa walio romantic unakuta anamfuata wife jikoni makiss Kama yote alafu anamsaidia na kupika
Ila eti wewe unajikuta kidume no romantic moves kwenye ndoa.
Wengine hata kuambiana Nakupenda kwenye ndoa ni shida yaani mnaishi kijeshi jeshi..
Wengine hata kukumbatiana wife akirudi au hata kumtia moyo kwa maneno ya kimahaba hapana ni full ukomandoo!
Hata mkipita Town kumshika hata mke wako kimahaba huwezi.Yaani mkiingia Town kila mtu chocho zake ilimradi msionekane pamoja..
[emoji23][emoji23]ulivyoandika ni kama tatizo la kitaifa hahahaha
Hahahah nakubali kamandaAjali kazini hata jambazi humwomba Mungu kabla ya kuiba
Uchumi na mapenzi tena jamaniuchumi wa viwanda wala hauhitaji hilo
Kaka, aheri ukose mke ila sio hela! Maana hela italeta mke utake usitake tu [emoji1787][emoji1787][emoji1787] ila mke akiwepo bila hela atakuzalishia stress utake usitake.
Hela kwanza halafu mambo mengine yafuate mzee hio ndio protocol inayofaa. Kupata mwanamke akupende bila hela ni mtihani wengi huwa wanafiki, akikuhurumia sana atakuwa na wewe na mwenzio mwenye hela. Mtakuwa mnapewa uchi kwa zamu.
Hii ni kiboko mkuu nimecheka kinoma 🤣🤣🤣Bongo uromantic ni sawa na shetani kuomba radhi kurudi mbinguni
Kuna maana mbili moja kidudu mbili hakuna pesa ila romance ipo pale pale hata kama hakuna helaUchumi wa kati kati nikutafuta pesa tu nasema pesa tu
Yes exactlyKuna maana mbili moja kidudu mbili hakuna pesa ila romance ipo pale pale hata kama hakuna hela
Hahahah we unadhani u romantiki ndio wadhifa wa kustawisha penzi.
Utakuja kupigwa na butwaa siku ambayo utagundua mpenzi wako anakazwa na jamaa ambaye ni mbabe mbabe hivi na kauzu [emoji1787][emoji1787][emoji1787] au mvuta bangi hivi muhuni tu. Ndipo utalia na kusaga meno.
Ishi na mkeo unavyoona sahihi kwako usihangaike na mambo ya u romantiki sijui blah blah