Wabongo mjifunze kuwa Romantic basi

Nitafte hela.nimuhonge.nimridhishe kitandan.na bado niwe romantik...huo muda sina..kwamba sina kaz zingne za kufanya au
 
kukuumiza kivip yaan mana kwenye uhusiano kukosana lzm sasa utaachana na wangapi
Kuna tofauti kati kukosana kawaida na kumuumiza mtu makusudi.

Saa kama umempenda mtu kwa dhati kabisa halafu anakufanyia matendo ya kuumiza makusudi kabisa utafanyaje kwa mfano mkuu!!
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kiingeereeza
🤣🤣🤣🤣🤣
 
Nime gonga sana wake za watu kwaajili hiyo, wakati watu wako bize kitafuta pesa mimi nipo bize kuwagongea wake zao kilainitu hatari sana
 
Sasa kwa nini analeta vitu vya kifikirika wakati yeye mwenyewe kuvifanya haviwezi hata kidogo eti romantic mambo ya kifilipono unaleta bongo
😂😂😂😂anachukua ujuzi mkuu😂😂umri ukifika asipate tabu😀😀😀
 
Kuna tofauti kati kukosana kawaida na kumuumiza mtu makusudi.

Saa kama umempenda mtu kwa dhati kabisa halafu anakufanyia matendo ya kuumiza makusudi kabisa utafanyaje kwa mfano mkuu!!
Heh!yani kumbe kina Chakorii na nyie mnaumizwaga kwenye mapenzi dah!nani anadiriki kufanya Hivyo[emoji1787][emoji1787]
Tufungue mahakama ya mapenzi fasta[emoji23][emoji23]
 
Kuna tofauti kati kukosana kawaida na kumuumiza mtu makusudi.

Saa kama umempenda mtu kwa dhati kabisa halafu anakufanyia matendo ya kuumiza makusudi kabisa utafanyaje kwa mfano mkuu!!
upo sahihi ila kama nihivyo kweli umekuwa sasa mkuu.

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Kwa hiyo mkitafuta money there's no need to be romantic in a relationship
wewe bado mtoto.
ngoja ukikuwa mkubwa halafu majukumu yakuandame huku unadaiwa ada za watoto,hujakaa sawa mwenye nyumba anataka kodi yake,hujakaa sawa unapigiwa simu kuna mgonjwa amezidiwa anahitaji msaada wako halafu ndio tuone kama hapo utawaza hiyo romantic yako.
 
Romantic ya bongo ni pesa tu.
usipokuwa na pesa anakuona kama mbuzi tu na ukimsogelea atakwambia unanuka tumbaku usimsogelee
 
Tukiwa romantinki mnatupanda kichwani! Hamkawii kutuambia tuwavishe pedi
 
Achana Na Tamthilia za Kifilipino & Wakorea..!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…