Wabongo mjifunze kuwa Romantic basi

We mleta uzi acha kuleta mambo ya kwenye movie za ufilipino embu na wewe uoe alafu muzae watoto 4 alafu ichi ulichokisema ukakifanye kwenye ndoa yako
Huyo kuoa sio leo mkuu..ndo kwanza ako na 19 kama sio 20yr..bado Sana’a
 
Huyo kuoa sio leo mkuu..ndo kwanza ako na 19 kama sio 20yr..bado Sana’a
When the JF members have all your InFos in their hands
No way out[emoji23][emoji23]
 
Kijana punguza vingreza..kichwa chaniuma atii..
Maisha yanipeleke puta na wewe pia unipeleke puta!!hapana am sole[emoji41]
Kingereza wapi hicho natoaga kwenye zile subtitles za movie wala sio vile[emoji23][emoji23]
Alafu ukiona MTU anatumia kingereza kingi ujue elimu ni ya bure kama ya Magufuli[emoji23]
 
Mkuu punguza tamthilia,, uhalisia haupo hivo.

Utanishukuru baadae
Mi huwa siangalii tamthilia lakini hata hivyo wabongo tumezidi ndoa/mahusiano kama vile unaishi pekee yako bana mbwembwe kidogo
 
Yaani wanaume wa Lake Zone ladies wanaonaga hatuko romantic..

Ngoja nioe mzaramo wa Dar tukomeshane[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…