zagarinojo
JF-Expert Member
- Jul 26, 2020
- 2,622
- 2,855
Ila wabongo mjifunzeni kuwa romantic kwenye mahusiano/ndoa. Penzi linanoga ukiwa romantic bana.
Yaani sijajua sijui ni desturi au ni ushamba yaani unakuta mwanaume unarudi home unamkuta wife jikoni anapika we unaketi sebuleni unasubiri amalize Kupika alafu eti yeye ndo anaanzisha salamu.
Kwa walio romantic unakuta anamfuata wife jikoni makiss Kama yote alafu anamsaidia na kupika
Ila eti wewe unajikuta kidume no romantic moves kwenye ndoa.
Wengine hata kuambiana Nakupenda kwenye ndoa ni shida yaani mnaishi kijeshi jeshi..
Wengine hata kukumbatiana wife akirudi au hata kumtia moyo kwa maneno ya kimahaba hapana ni full ukomandoo!
Hata mkipita Town kumshika hata mke wako kimahaba huwezi.Yaani mkiingia Town kila mtu chocho zake ilimradi msionekane pamoja..

..I’llbe zea...