Wabongo kwanini tunapenda sana matofali?

Wabongo kwanini tunapenda sana matofali?

Unatunia treated timber
Nimeongelea hapo juu, tushajenga kwa mbao na nishaona habari zote hizona care inayotakiwa.

It is not for everyone, especially not for our culture of "build and forget".

Kutegemea na ulivyojenga, unaweza kuhitajika ku treat mbao kila baada ya muda fulani kamasehemu ina wadudu.
 
96d458cef194fee0d65a10357fe2dfdc.jpg

Bei ni $1 - 20 kwa square meter.
Tafuta fundi wa milango ya vioo, muulize mlango wa kioo kitupu,sio ile aluminium frame na 5mm glass, no kioo tupu kama kwenye majengi na hotels kubwa bei gani?
Nilitaka kuweka huo mlango bafuni pozi liliniisha!
 
sio tunashindwa bali tunazuia sauti na miguno ku penetrate kwenda vyumba vingine !
 
Nimeongelea hapo juu, tushajenga kwa mbao na nishaona habari zote hizona care inayotakiwa.

It is not for everyone, especially not for our culture of "build and forget".

Kutegemea na ulivyojenga, unaweza kuhitajika ku treat mbao kila baada ya muda fulani kamasehemu ina wadudu.
Well, Sao Hill mbao zao wanasema guarantee ni 50yrs.
Shida yetu kama ulivyosema tunapenda cheap stuff.
 
Usiku mwema unakuwa hivi:
c475e6cd1f3ac2873c68e52770e169af.jpg

Au hivi

3c2d9c21a4daf1ff5a82deed2f17402d.jpg

Kama ni vibaka kwanini vyumba vya ndani mpaka kwenye magorofa vinatumia matofali. Mwisho wa siku “expansion joints” zinabuma?

Vyumba vya namna hii vina ubaya gani?

363f46f04604c8efd5253ec035b28f7b.jpg

afu ukitoka tu nnje ya fence unakutana na dimbwi kubwa, korongo, mtaro wa maji ya chooni.. context shida kubwa sana.
nyumba za hivo zinatakiwa zianze na mchoro then ifwate proper consultancy katika supervision ya ujenzi wake mtu kufikiria kuchora tu anaona anapoteza pesa za cement..
 
Kwenye hili suala la mchwa. Ukipiga floor ya nguvu kama hii halafu ukakata vyumba vya mbao zenye dawa ya mchwa juu yake naamini mbao zako zitasalimika na mchwa kama kitanda chako. Au kuna ambae kitanda chake kimewahi kushambiliwa na mchwa?

b7f8bafb5ce38fb404daba58f6dd8c6b.jpg
 
Hizi habari zinataka watu wenye hobby na hela.

Architect au engineer mwenye hela zake anayetaka muonekano fulani wa katalogi siwezi kushangaa.

Mbongo wa kawaida ukishaweka extra expenses na care tu anaona tabu zote za nini? Weka tofali tumalize mambo.
 
Unaweza ukajenga kwa nguzo za cement and then ukaunga kwa vioo jamani sio lazima mbao au tofali mengine kukalili tu!! and that is my wish!!!
 
Tafuta fundi wa milango ya vioo, muulize mlango wa kioo kitupu,sio ile aluminium frame na 5mm glass, no kioo tupu kama kwenye majengi na hotels kubwa bei gani?
Nilitaka kuweka huo mlango bafuni pozi liliniisha!

Bei zitajirekebisha watumiaji wakiwa wengi.
 
Unaweza ukajenga kwa nguzo za cement and then ukaunga kwa vioo jamani sio lazima mbao au tofali mengine kukalili tu!! and that is my wish!!!
Unaweza. Ila gharama ni kubwa. Vioo vinavyotumika kwenye plan kama picha hapo juu sio hivi tulivyozoea vya madirisha yetu ya aluminium.
 
Hayo maisha tuwaachie wazungu wenyew
Kwanza hapo mtakwich kwich vp
 
Hayo maisha tuwaachie wazungu wenyew
Kwanza hapo mtakwich kwich vp
Kukwichkwich ni kawaida mnafunga mapazia. Tena yale mazito yanauzwa 120,000. Hata ukiwasha taa ndani aliyepo nje haoni kitu.
 
Mlimani city ni ghorofa?, kinachopelekea expansion joint ni jengo kuwa refu kiupana (mapana), na sio kuwa ghorofa, maghorofa yote kariakoo hayana expansion joint, kwa sababu ni marefu kwenda juu lakini si mapana.
Ndio maana nimekuambia sio magorofa yote
 
ni wazo zuri,wakati wa bomoa bomoa unachomoa mbao/vioo vyako. tatizo mazingira yetu, kwanza kuna upungufu mkubwa wa mbao na nyingi zinavunwa kabla hazijakomaa, vioo ni gharama na uswahilini sijui tu kama vitasurvive,
 
Ujenzi wa aina hii ndio ninaoupinga. Sasa matofali kule juu ya nini? Yanaongeza uzito. Cha kushangaza hakuna anaesema ujenzi wa hivi unaongeza joto ndani ya nyumba. Na wajengaji pesa wanazo.
9c043ac1e067e4a4edecedeedd2957f0.jpg
 
Kina kaka jambazi kabla hujamaliza na wao wanachomoa moja moja
 
Back
Top Bottom