Wabongo kwanini tunapenda sana matofali?

Wabongo kwanini tunapenda sana matofali?

Wengine hupenda kuambiwa wanavyoamini wao, ukisema tofauti, utasikia sio kweli, unapozungumzia ukuta WA kioo huishiii kuongelea bei yake pekee bali kuna mambo ya energy consumption,na insulation japo Bei ya tofali yenyewe kwa sm ni kama Mara tatu ya bei ya kioo.

Mkuu joto likizidi ukuta wa kioo unaweza kufunguliwa. Fungua ukuta wa tofali sasa tuone. Kuna mijengo ambayo mpaka paa la nyumba linaweza kufunguliwa na kufungwa. Hatuwezi kufika huko tuking’ang’ania ujenzi tulioachiwa na Kinjeketile. Lazima tukubali mabadiliko na tujifunze kwa waliotutangulia.
 
Shida ya mwizi wa kibongo ni apate uhakika tu kama anachokitaka kipo humo ndani? mengineyo mwachie
 
Security, privacy, fire rating, durability, affordability, Load bearing capacity, Availability. Matofali tofauti na vitu vingine kama mbao, chuma na vioo ni Imara hivyo ni nzuri kwa usalama; hazionyeshi nje, hivyo yana leta faragha; hayashiki moto kwa urahisi kama mbao; zinadumu kwa mika mingi sana bila kuliwa na mchwa kwa mfano; pia mchanga na cement vinapatikana kwa unafuu, hivyo tofali ni nafuu, pia matofali yanauwezo wa kubeba uzito mkubwa wa paa la nyumba tofauti na vioo, mbao au fremu za chuma; pia matofali yanapatikana kila mahali kwa urahisi kutokana na wingi wa machimbo ya mchanga.
 
Sio kweli mkuu.
Ni kweli aluminium partition tu sqm moja ni 110,000 wakati vioo ni mm4-5, sasa piga hesabu hiyo itacost kiasi gani maana lazima kioo liwe na mm za kutosha na kigumu.
Halafu joto, kioo ni good conductor of heat wakati wa mchana halafu kina loose heat haraka usiku.
Pia huku kwetu security mkuu, we nyumba umeerka gate, na kila dirisha lina grill za chuma bado watu wanakata wanaondoka na flat tv.
Sasa ujengee vioo kwa sehemu kubwa si ndiyo balaa
 
Sio kweli Kaka, walikuuzia vya saloon basi, hivyo vioo, kuanzia unene ni tofauti pia huwa vima proofing materials Kama za joto,sauti na wakati mwingine hadi bullet proof wanainstall humo.

96d458cef194fee0d65a10357fe2dfdc.jpg

Bei ni $1 - 20 kwa square meter.
 
Hahah unazingua... Expansion ni mpka kwenye ghorofa, tena sio lazima magorfa yote....
Mlimani city ni ghorofa?, kinachopelekea expansion joint ni jengo kuwa refu kiupana (mapana), na sio kuwa ghorofa, maghorofa yote kariakoo hayana expansion joint, kwa sababu ni marefu kwenda juu lakini si mapana.
 
Ni kweli aluminium partition tu sqm moja ni 110,000 wakati vioo ni mm4-5, sasa piga hesabu hiyo itacost kiasi gani maana lazima kioo liwe na mm za kutosha na kigumu.
Halafu joto, kioo ni good conductor of heat wakati wa mchana halafu kina loose heat haraka usiku.
Pia huku kwetu security mkuu, we nyumba umeerka gate, na kila dirisha lina grill za chuma bado watu wanakata wanaondoka na flat tv.
Sasa ujengee vioo kwa sehemu kubwa si ndiyo balaa

Ingekuwa Tanzania hakuna nyumba za vioo ningekuelewa. Kwanza kabla ya huu mpango wa grill yale magorofa ya Ilala madirisha yalikuwa ni vioo vitupu (luva)
 
Ingekuwa Tanzania hakuna nyumba za vioo ningekuelewa. Kwanza kabla ya huu mpango wa grill yale magorofa ya Ilala madirisha yalikuwa ni vioo vitupu (luva)
Hujui kwamba maghorofa ya vioo hapa kwetu yanaongeza energy consumption mkuu...
 
96d458cef194fee0d65a10357fe2dfdc.jpg

Bei ni $1 - 20 kwa square meter.
Mkuu achana na habari za mtandaoni kioo cha mm5 pale kwa waturuki kina ukubwa wa ft 7*5.5 ni 74,000-78,000 hicho ni kioo cha kawaida ambacho huwezi tengenezea ukuta bado kuna handle za hivyo vioo
 
Ndugu Yangu Iyo Picha Ya Mwisho Ni Risk Sana Kujengea Kibongo Bongo Umeme Hauelewek Iyo Kitu Ikishashika Moto Tutatafutana Boss Wangu
 
Ndugu Yangu Iyo Picha Ya Mwisho Ni Risk Sana Kujengea Kibongo Bongo Umeme Hauelewek Iyo Kitu Ikishashika Moto Tutatafutana Boss Wangu
Ndicho nlichomwambia kioo ni good conductor of heat ndiyo maana ghorofa zote zenye vioo zina AC muda wote.
And by the way kuna vioo maalum siyo hivi vya kawaida vya mm4-5
 
Usianzishe ugomvi wa mawe ukiwa unaishi nyumba ya Vioo

Magomeno,mbagala,vingunguti ujenge hivyo ili? Uchunguliwe jiulize GARI IMETEMBEZWA JAPANI WEEEEEE IKIJA BONGO MPAKA UWEKE TINTED mara uwekewe alarms mara wachomeleeee nini sijuw

Hujiulizi kwa nini tu?
Sio lazima uanzishe ugomvi,au lazima ugombane na watu,kuna wengine hawana nature ya ugomvi,pia unaweza kujenga nyumba kwa tofali then ile maste yako ukaipiga ya vioo vigumu,inakua mubashara kbsa
 
Ndicho nlichomwambia kioo ni good conductor of heat ndiyo maana ghorofa zote zenye vioo zina AC muda wote.
And by the way kuna vioo maalum siyo hivi vya kawaida vya mm4-5
Niwekee Na Gharama Niendele Kujenga Magorofa Yangu Kwa Ndoto
 
Niwekee Na Gharama Niendele Kujenga Magorofa Yangu Kwa Ndoto
Sasa usiombe kiwe kimekata kona yan kimejikunja kwenye kila pande au upande mmoja kutengeneza U au L hiyo ni special order kutokana na vipimo bei yake si ya kitoto.
Ukweli ni kwamba vinapendezesha nyumba tatizo huku kwetu umeme hautabirik na jua kali plus vibaka ambao wanakata mpaka grills
 
Ingekuwa Tanzania hakuna nyumba za vioo ningekuelewa. Kwanza kabla ya huu mpango wa grill yale magorofa ya Ilala madirisha yalikuwa ni vioo vitupu (luva)
Acha wewe. Kuna nondo 12mm zimelazwa horizontally.
 
Back
Top Bottom