Wabongo kwa misemo mimi hoi

Kumbe huku mamaafacebook anagawa dozi hehehehe mimi napita tu, usinipige na misemo yako!
 
Last edited by a moderator:
1. Gari la kuvutwa hali overtake.
2. Hata uwe na bahati vipi hauwezi kuokota nyumba.
3. Mganga wa jadi haagizi samaki/mchicha.
4. Wimbo wa taifa haupigwi disco.
5. Kandambili haipigwi kiwi
6. Usiteme Big G kwa karanga za kuonjeshwa.
7. Hata bibi alikuwa binti.
9. Kipara bila pesa ni kovu.
10. Mbwa hanenepi miguu
11. Picha ya Rais haina bodyguard.
12. Mjini shule kijijini tuition.
13. Uzuri na shepu mjini, tabia kijijini
15. Silaha pesa, kisu na bastola mizigo.
16. Kuku ni kuku tu, jogoo jina.
17. Kusoma kuelewa kukesha mbwembwe
 
Kama haingii usikandamize, fanya km unatoa, kisha ingiza tena!
 
Ukiona mtu mzima anajisaidia kwenye maporomoko ujue kuna mzizi kashikilia
 
Tanga hakuna mapenzi bali mazingaombwe.

Mvuta bangi hana akili kwani brain cells zote kaziua kwa pollution
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…