Wabongo kwa misemo mimi hoi

Mamaafacebook weeeee!! We ni mjukuu wa bi hindu nn maana una misemo hatareeeeeeee😀
 
Mama Facebook umetishaa sana hahaha
 
Eeh usilete hashuo la bungo huliwi hadi utiwe vidole...

Usijitie hashuo la kwapa kunuka bila kidonda...

Haufadhiliki kama ngozi ya futi....
 
Hii ipo kwenye gar kubwa la mizigo!!!

"Kwa hisani ya watu wa marekani..!!!!"
 
Simuogopi binadama na kaz zake
Namuogopa mungu na adhabu zake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…