MattyB orland
Member
- Oct 5, 2016
- 33
- 8
kic
hapa kinachoongelewa ni vigezo vya kupata mkopo na sio vigezo vya kuchaguliwa facult na TCU ndo wanaconsider hizo vitu ulivyokomaa navyo wewe stuka bas khaaa au hujui ni vigezo gan ambavyo wanamconsider mtu katika kutoa mkopo?
tatizo kichwa jiwe huwezi kutofautisha kati ya TCU na HELSBcompetition ya ufaulu ndio unaobagua apo.... iyo ndio main point. sio private schools wala government schools. mbona kuna watu wa izo shule za kata wametusua hatariii, mfano t.o alisoma shule ya kata benjamin william mkapa o level mererani, na akapiga one ya tatu pale tabora boys...mbona t.o wa shule ya kata kafanya vzuriii ata kuliko hao wa feza na st marry?