51 Bachelor of Arts in Economics and Statistics UD054 Two principal passes in Mathematics and Economics 5 from 3 subjects 100 3 1,300,000 - Non-PriorityKwani hicho anachoenda kukikosea ni priority kwa government kwa kupata mkopo?
UDSMTupo weng kumbe sasa waliopata kina nan?
Kwa hali hiyo mtu mmoja akasema humu mtoto wa maskini kupata loan kama ulisoma arts labda uwe hauna mikono na miguu51 Bachelor of Arts in Economics and Statistics UD054 Two principal passes in Mathematics and Economics 5 from 3 subjects 100 3 1,300,000 - Non-Priority
Wala so Priority labda ni mtoto yatima au mlemavu na wazazi wake ni maskini.
Ila Kama alisoma private basi kuna jambo na hili suala la mikopo litakuwa ngumu kwa watoto wa wakulima na wafanyakazi wa kada ya chini
Kwenye taarifa ya Naibu waziri wa Elimu eti watapewa wenye fani ambayo ni kipaumbele katika mipango ya maendeleo ya nchi.
Waziri wa Elimu jitokeze na fafanua au kanusha hili kabla watanzania hawajaanza kuchimba huyo mtoto wa Ndalichako yupi.
Pia ni vyema mkawapa hata kwa kiasi wote waliomba mkopo ambao tayari TCU imewapangia vyuo.
braza na kilazaa kumbe sijawahi pata division less than one na sijwahi kusoma private sijisifii ataa be patient pleasee...!!!!
Nimechaguliwa first round na TCU civil engineering-UDSM kwa matokeo yangu ya olevel check S0135/0045/2013 Advance kachekii S1098/0505/2016 afu unambie kwa matokeo kama hayo 2nd round inatoka wapii.. mchizi am brain please be patient homie...!!!!![]()
![]()
we siulikosa first round TCU.
Ukakosa tena second round TCU
ukaambiwa uaply tena third round.
Ukaja humu jukwaani ukilia kama mtoto wa kike.
Ndo ukapangiwa koz ya mil 6 kcmc kwa mwaka.
Na usipojiangalia utaahirisha tena mwaka maana hapo unaongezea 4mil kwa kila mwaka.![]()
![]()
Nakwataarifa yako ungekua umepata hyo DIVISION 1 UNGEPATA FIRST ROUND KWENYE VYUO AMBAVYO WENZAKO WANASOMA BURE UPANDE WA AFYA KAMA.
UDOM
MUHAS
AJUCO
ST JOHN.
Kwani arts sio binadamu mwenye uhitaji kama wewe? Acha izo bhna kila mtu na bahati yake we subilia tu utapata amna aja ya kupanicbroo mim Nina div one ya 6 nachukua petroleum nimetemwa hyoo wa arts kapataa Tz amnaa hakii
mkuu sawq anaweza asiwe mwanae!Hivi mna uhakika gani na huyo binti? Je mnadhani ni mtoto halali wa ndalichako au ni majina yanafanana tu,Kama ni kweli mtoa Uzi toa evidence za kutosha kuwa ni mtoto halali wa Waziri wa elimu,kama siyo basi acha kupotosha umma kwa hayo maneno!!!!
Nawakilisha!!!
hauwezi kutemwa kama kweli umetusua iyoo, kumbuka pia maisha ni ujanja na akili pengine uyo jaq yupo vzurii sana kupiga dili na zikakubaliiibroo mim Nina div one ya 6 nachukua petroleum nimetemwa hyoo wa arts kapataa Tz amnaa hakii