Super Tuesday
JF-Expert Member
- Apr 5, 2016
- 636
- 727
wadau hivi huyu jamaa ni nani? maana huwa namuona kupitia account yake ya instagram kama comedian fulani vile.
Ni mtu na kaka yake...baba mmoja mama mbalimbali.Nahisi nilivyomuelewa mm mtoa uzi kwamba wanohojo na Ford(shamsa) wana relation?
Yah prof nami basubiri picture yake
Yah Rey nimemwona asante mkuu
Aliimbwa hadi na Safar sound kama sijakosea "Maisha uliyonayo sasa eeh Ford eeh jihadhari na Anasa"aliimba Gurumo enzi zake;makazi yake yalikua ile barabara ya kutoka Afrikana kuelekea mabatini nadhan ameshafariki miaka ila mwanzon mwa 2000s Afya ilizorota alikua anakaa nje ya nyumba anaota jua asubuhi ukiambiwa ndio Ford check bob wa zaman huwez kuaminNi mtu na kaka yake...baba mmoja mama mbalimbali.
inasenekana mzee wao ambaye kwa sasa ni marehemu,alikuwa ni mmoja ya wazee wa mashuhuri wa mujini ktk jiji la dar.
umaarufu wake ukapelekea kuwa na Wanawake wengi aliozaa nao.huko ndio walipatikana mama zao akina wabogojo na huyo shamsa ford.