Wabogojoford ni nani?

Ni mtu na kaka yake...baba mmoja mama mbalimbali.

inasenekana mzee wao ambaye kwa sasa ni marehemu,alikuwa ni mmoja ya wazee wa mashuhuri wa mujini ktk jiji la dar.

umaarufu wake ukapelekea kuwa na Wanawake wengi aliozaa nao.huko ndio walipatikana mama zao akina wabogojo na huyo shamsa ford.
..."inasemekana"
..ulikuwa bado hujaja mjini na fuso la mananasi nguo kwenye birika!
 
Ni mtu na kaka yake...baba mmoja mama mbalimbali.

inasenekana mzee wao ambaye kwa sasa ni marehemu,alikuwa ni mmoja ya wazee wa mashuhuri wa mujini ktk jiji la dar.

umaarufu wake ukapelekea kuwa na Wanawake wengi aliozaa nao.huko ndio walipatikana mama zao akina wabogojo na huyo shamsa ford.
Hapo nimekusoma mkuu na mimi hisia zangu zilikuwa zinanituma uko
 
Aliimbwa hadi na Safar sound kama sijakosea "Maisha uliyonayo sasa eeh Ford eeh jihadhari na Anasa"aliimba Gurumo enzi zake;makazi yake yalikua ile barabara ya kutoka Afrikana kuelekea mabatini nadhan ameshafariki miaka ila mwanzon mwa 2000s Afya ilizorota alikua anakaa nje ya nyumba anaota jua asubuhi ukiambiwa ndio Ford check bob wa zaman huwez kuamin
Uyo ford alikuwa tajiri?
 
wabogojo my nigga,mzee wa Taipq.jamaa anaroho nzuri sana,amewasaidia watanzania wengi sana wanaopata majanga wakiwa Macau
 
Back
Top Bottom