Idimulwa
Platinum Member
- May 27, 2011
- 5,447
- 3,356
-Yuko wapi huyu Naibu Waziri Mkuu wa zamani na Mbunge wa Jimbo la Bukombe-CCM?
-Ni nani alirithi mikoba yake, maana natambua kwamba mkeka wa 2025 ulichanika?
-Namuona Waziri Mkuu wa sasa anahaha Nchi nzima peke yake tu pasipo msaidizi... Kulikoni huko?