Nabadili strategy. Nimeoana kuwa serious sana haisaidii. Sasa ni mwendo wa full - maraha!!
Ninatafuta binti anayetaka kuwa na mahusiano na mwanamume. mahusiano hayo yanaweza kuishia katika ndoa ama yanaweza kuishia katika mahusiano tu.
Sina vigezo vigumu ila awe si malaya, kahaba, mhuni, etc
Awe ametulia, machepere saana si type yangu.
Awe ana mtizamo wa maisha mema ya baadaye. Asiwe limbukeni asiyewaza lolote la baadaye.
Awe bize na shughuli fulani au kama anasoma basi iwe katika vyuo vya elimu ya juu. sitaki kesi na wanafunzi wa sekondari.
Karibuni PM