Waberoya na falsafa za mandela

elimukwanza

Senior Member
Dec 27, 2010
168
23
Waberoya nimekuwa nikifuatilia michango yako sana hapa jf na nimekuja pia ku prove msemo wa mandela aliwahi kusema kuwa:CHARACTER IS LIKE A PREGNANT YOU CANT HIDE IT.
 
Waberoya nimekuwa nikifuatilia michango yako sana hapa jf na nimekuja pia ku prove msemo wa mandela aliwahi kusema kuwa:CHARACTER IS LIKE A PREGNANT YOU CANT HIDE IT.
Anapojificha kwa jina la mwanamageuzi au sina chama anadhani nia yake haijulikani.
 
Si umemuonaeeee , anajibadili kikinyonga lakini unambaini alberto msando bwana mimi jana nimempa kubwa akajidai kuruka lakini msg sent
 
mkuu ... fafanua zaidi

LAT Nifafanue nini hawa watu wanaojidai wako neutral huwa wanagundulika as time goes nikupe mfano kuna mshabiki mmoja alikuwa anajidai analyst kumbe anaipenda arsenal siku ilishinda akaruka kuzidi hata wanazi wenyewe.namshauri huyo ndugu yangu najua awe wazi yuko wapi siyo kuita watu mambumbumbu na huku hawajui huku jf unaweza kukuta wanachama wa chadema hawafiki hata mia.sasa hao wanachama hawataje basi ni akina nani na wa matawi gani?
 
Waberoya nimekuwa nikifuatilia michango yako sana hapa jf na nimekuja pia ku prove msemo wa mandela aliwahi kusema kuwa:CHARACTER IS LIKE A PREGNANT YOU CANT HIDE IT.

Maelezo yako ya awali hayamfanyi asiyemjua Waberoya hata kumpatia picha. Sitofautishi na maelezo ya Sura Mbaya WASSIRA kuwa CDM wanataka kuitoa serikali kwa mabavu bila kusema lini, wapi, nini kilisemwa na uhusiano kati ya kilichosemwa na anachokisema. Jipange mkuu....
 
Waberoya nimekuwa nikifuatilia michango yako sana hapa jf na nimekuja pia ku prove msemo wa mandela aliwahi kusema kuwa:CHARACTER IS LIKE A PREGNANT YOU CANT HIDE IT.

Ume attract watu sikujua kumbe jina langu ni kubwa hivyo. Ukweli kabisa ku-hide character ni ngumu sana. Umegundua nina character gani? ebu weka basi mtu wangu. Maana wengine wananiita mimi Mwanamageuzi, wengine wananiita mimi ni Albert Msando wewe unaniita mimi nani?
 
mkuu ... fafanua zaidi

ni kama watu wanasema mimi si shabiki wa simba wala yanga, ila yanga ikifungwa na simba najisikia vibaya! au simba ikifungwa na yanga najisikia kama naumwa homa vile!
 
Watu mnaamka asubuhi na gololi zenu kuja kumjadili mtu hapa, kama mmeshindwa kwenye thread zake, si mkae kimya. Tunahitaji watu kama waberoya humu tupende tusipende, mnaonyesha tabia ya ubinafsi sana kutaka kila mtu awe sawa na nyie, sikutegema watu kadhaa kuchangia

siamini kweli kabisa mnaanzisha thread ya kumjadili mtu! are you not great people who discuss ideas!

duh! ama kweli tembea uone, tuna issues kibao za kujadili humu siyo waberoya mth f.c.urs , after all tunayemjua kuanzia miaka hiyo ni mwanachadema mzuri tu.

you beta fak yourself, upuuzi huu!!!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom