Abdulhalim
Platinum Member
- Jul 20, 2007
- 17,216
- 3,126
wekezeni makwenu bana!taifa linajengwa na vijana,wataalamu wa nyanja mbali mbali!sio unaenda kusoma ki mastaz chako ukimaliza unaamua kubaki hukohuko UBEBE BOKSI,kisa bongo kuna njaa!.........
Kwani kujenga taifa wewe una ku-define vipi? Nachukia sana mijadala isiyosogea!
Fidel80;
Hapana; popote penye kuwezesha mkono uende kinywani ni poa tu ndugu yangu.
Tuheshimiane tu bila kujali uwezo.
FP
Semilong;
Nadhani umekuja TZ miaka ya zamani sana au haupo connected. Miaka ileee kulikuwa hakuna makampuni ya kigeni. Kulikuwa na kampuni na mashirika ya umma.
Baada ya makampuni ya kigeni kuingia tumeona kwa sasa kuna vijana below 40 years ambao ni ma CEOs, kuna wa UBA (sijui wamebadili jina?) na kuna Kenya commercial bank na wengineo (barcklays bank pia ni kijana).
Haya makampuni ya kigeni yanazingatia uchapa kazi wako sio kitu kingine, matokeo yake wabongo kibao wana nafasi nzuri na salaries za above 5000 Usd kwa mwezi kwenda mpaka 12,000 Usd (may be zaidi ila sina mfano wa above that)bila marupurupu kama nyumba , gari etc.
Sasa kama wewe unaona hizo salaries hazitoshi kuja kuwaangalia wabeba mabox basi una matatizo au umeamua tu kuwa mmbishi.
Uliza jamaa zako wa bongo watakwambia..
Fidel80;
Uwekezaji unataka moyo. Sio kila mtu ni Mzalendo.
Shame on you. Unakuja hapa kusifia UFISADI? Unajua WTZ wangapi wanakufa kwa njaa kila siku kwa sababu ya watu kama nyinyi mnaondekeza UFISADI? Shame on you.
**************************************************************
Je mmeacha kuchambia kopo???
Bahati mbaya hujanielewa, ungekuwa umesoma sentensi yangu ya mwisho ungekuwa umejua nasema nini? Nachosema ni hivi, sasa hivi Bongo kuna pesa za nje nje na ndio mana vija mnaowaita wala Vumbi wana pesa na ndio maana hawana adabu mbele ya mbeba BOX. Wana pesa, mnataka kulazimisha hoja, ukweli ni kuwa nchi ina UFISADI na hii ndio sababu kuna watu wachache wana make na walio wengi wanateseka na hao mnaokutana nao ndio wale walio kwenye nafasi ya kumake.
Siku hizi kumekuwa kuna tabia ya mtu ukitoka nje ukimuambia mtu kitu hata kama ni cha ukweli yeye ananga'ng'ania kubisha na kukuita mbeba box
unakuta unamuambia mtu kutokana na wewe umeona upande mwingine wa dunia lakini hataki kukusikiliza sio kama yeye anahoja hapana bali ni kutaka kukuletea zarau...
Na wengi wanakua wanaongea kwa chuki sana huku wakikuita mmbeba box
cha kujiuliza kwa nini kumekuwa na chuki kati ya wabeba mabox(watz wa nje) na wala vumbi(watz walioko tz)????
Hizo hela za hao vijana unaodai wana hela ni hela zinazopatikana kiujanja ujanja, kifisadi fisadi tu. Bongo kumejaa vitapeli tapeli kibao. Ujinga mtupu! Kazi nzuri zinapatikana kwa kujuana au kubusiana makalio. WTF! It pissess me off
Hilo la vitu feki bongo usiseme,wizi mtupu.Mfano hai energy saving bulbs bongo life yake haizidi miezi 3 hadi minne.Nilibahatika kupata free sample energy saving bulbs( British Gas switch to Green Promo )leo miaka bado zinadunda,labelled 10 years life based on 10,000 hours
mbona hii sentensi imekaa kushotoThe truth is a majority of Africans who immigrate to the U.S. do manual labor na wana kua kwenye welfare ukilinganisha na immigrants toka nchi nyingine say za Asia ambao wao ni 1% ya immigrants but they are the biggest tax contributors of all immigrant groups. Hizi stereotype za ubeba mabox ina tokana na ukweli usio fichika kwamba majority of Africans in the U.S. and Europe are not blue collar workers(siyo wote).
lugha yangu iko divisive kwa ajili jumuiya iko divided. this is how they call one anaother...Kwanza lugha yako mwenyewe iko divisive.
Si kila mtanzania aliye nje ni mbeba box, kuna watu wanafundisha vyuo vikuu na kufanya kazi professional jobs sehemu kama Wall St na Silicon Valley.
Si kila Matanzania aliye nyumbani ni mla vumbi, kuna watu wanafanya mambo makubwa. Hii mentality ya kuruhusu kuwagawanya watu katika mafungu kirahisi kama nyanya rojo na nyanya fresh inachangia tatizo badala ya kutatua tatizo.
Heri nusu shari kuliko shari kamili, kama unafikiri mtu anakudharau ya nini kujihusisha naye?