Nguruvi3
Platinum Member
- Jun 21, 2010
- 15,419
- 31,440
Safi sana Nonda, sasa kama tumeacha mambo 11 ya awali na sasa tunayo 32, je, katika hayo 21 yapi yanaleta matatizo na kuikera Zanzibar?Bahati mbaya mfumo huu mbovu umekuwa mbovu zaidi baada ya kuacha makubaliano ya awali ya Muungano na matokeo yake kuongeza vitu vingine ambavyo vimekuwa ni sababu ya kuleta matatizo mengi.