Wabara kufaidika na kuvunjika kwa muungano

NATA

JF-Expert Member
May 10, 2007
4,492
1,311
Hebu tujaribu kuainisha faida tutakazo zipata wabara endapo muungano utavunjika
1. Ajira zitaongezeka (nafasi zote zinazoshikiliwa na wa zanzibar zitarudi kwa wa bara)
2. Fursa pi zitaongezeka (biashara zote zinazoshikiliwa na wazanzibar kushikwa na wabara au wazanzibar kuingia ubiya na wabara)
3. Pato lataifa litakuwa wazanzibar watalipia viabari vya kuja bara na kupata working permit ambazo watalipia
4.
 
4.Tutapata heshima tunayostahili kama watanganyika
5.Watalipia bill za umeme kulingana na matumizi yao
6.Watalipia gharama za majeshi yetu yakiwa unguja kikazi
7.Hawana vyuo vikuu vya kutosha hivyo watalipia ada wakija kusoma kwetu kwa kwa fedha za kigeni
8.Tanganyika ndiyo soko kuu la bidhaa za unguja hivyo watalazika kushusha bei ili tununue vinginevyo tutasusa kuvinunua.
 
Mawazo yako mabovu ni kama ya marehemu Dikteta Idi Amin wa Uganda aliyeamini kwamba biashara za Waganda wenye asili ya kiasia zitachukuliwa na Waganda weusi na matatizo yao yoooooote yataisha!
 
4) Hivi kuna nchi inaitwa Tanganyika? iko wapi hiyo? Rais wake nani? Bendera yake ipi? Bunge lake lipi? Serikali yake ipi?

5) Kwani sasa hivi hwalipii kulingana na bili zao?

6) Majeshi yaondoeni tu, yanakind nini huko Zanzibar, sana sana yanatia zahma na kupeleka mila za kiajabu ajabu.

7) Vyuo vikuu walivyonavyo vinawatosha na kama havitoshi watakenda kuwasomesha nchi nyingine njyingi tu zenye elimu bora kuliko hapa kwenye bora elimu.

8) Bidhaa zipi za Unguja? bidhaa kubwa ya unguja ya kuwaingizia fedha ni karafuu, sasa untaka kuniambia soko kubwa la karafuu lipo bara? Bidhaa ya pili ni Utalii, sasa watalii wangapi wa kutoka huko Bara wanaokuja Unguja na fedha gani ya kigeni wanayoingiza? Nitajie zingine uzijuazo.
 
Hebu tujaribu kuainisha faida tutakazo zipata wabara endapo muungano utavunjika
1. Ajira zitaongezeka (nafasi zote zinazoshikiliwa na wa zanzibar zitarudi kwa wa bara)
2. Fursa pi zitaongezeka (biashara zote zinazoshikiliwa na wazanzibar kushikwa na wabara au wazanzibar kuingia ubiya na wabara)
3. Pato lataifa litakuwa wazanzibar watalipia viabari vya kuja bara na kupata working permit ambazo watalipia
4.

1) Na zile zinazoshikwa na wabara Zanzibar, zitabaki kuwa za wabara? au sio?
2) Wataishi na watafanya biashara kama wafanyacyo wachina? au wachina nao wana muungano na bara?
3) "viabari" ndio njini? hebu fafanua. Umetuwacha kwenye mataa!
 
Mawazo yako mabovu ni kama ya marehemu Dikteta Idi Amin wa Uganda aliyeamini kwamba biashara za Waganda wenye asili ya kiasia zitachukuliwa na Waganda weusi na matatizo yao yoooooote yataisha!

Huo ndio mtazamo wako na uheshimu!Next time jarbu kuheshimu mawazo ya watu mbali mbali
 
avatar43551_2.gif

im in love
 
1) Na zile zinazoshikwa na wabara Zanzibar, zitabaki kuwa za wabara? au sio?
2) Wataishi na watafanya biashara kama wafanyacyo wachina? au wachina nao wana muungano na bara?
3) "viabari" ndio njini? hebu fafanua. Umetuwacha kwenye mataa!

Polepole madam, orodhosha faida
 
Kati ya ahadi zilizokuwa zikinivutia sana wakati ule ni hii " Binadamu wote ni sawa na Afrika ni moja"! lakini sasa naona ahadi hii kama haina maana tena hasa kwa majibu ya kifedhuli ya FaizaFoxy juu ya mama yetu Tanaganyika! faiza kwa kejeri kabisa anauliza eti hivi kuna nchi inaitwa Tanganyika, swali hili lina refrect dhana ya wazanzibar wengi kuwa hakuna nchi iitwayo Tanaganyika, Faiza najua wajua vyema kuwa Tanganyika ipo na itaendelea kuwepo, kama umesahau au wajifanya kusahau basi ni kuwa Tanganyika ni ile nchi iliyopata Uhuru wake tarehe 9 december 1961 chi ya waziri mkuu Julius Nyerere na kuwa Jamhuri tarehe 9 December 1962 chini ya Rais Julius Nyerere. Ni nchi iliyopakana na Kenya upande wa Kaskazini Uganda, Rwanda na Burundi upande wa Kaskazni Magharibi, DRC Congo Magharibi, Zambia na Malawi Kusini na Bahari ya Hindi na Visiwa vya Pemba na Unguja (Zanzibar) Mashariki. Ina bunge ambalo " bahati mabaya kwa sasa limevamiwa na wageni kutoka visiwa vya pemba na unguja, bunge hili huketi kule Dodoma. Tanaganyika ni moja ya nchi ambazo hutoa msaada mkubwa wa ulinzi na fedha kwa visiwa vya Zanzibar, lakini pampja na fadhila hizi za Tanganyika kwa Zanzibar, serikali ya visiwa hivi ( labda ni kutokuwa na shukrani) ndio wadaiwa sugu wa shirika la umeme la nchi ya Tanganyika yaani Tanganyika Electrical Supply Company (TANESCO)!
 
1) Na zile zinazoshikwa na wabara Zanzibar, zitabaki kuwa za wabara? au sio?
2) Wataishi na watafanya biashara kama wafanyacyo wachina? au wachina nao wana muungano na bara?
3) "viabari" ndio njini? hebu fafanua. Umetuwacha kwenye mataa!

Toa hoja punguza mipasho!
 
Hebu tujaribu kuainisha faida tutakazo zipata wabara endapo muungano utavunjika
1. Ajira zitaongezeka (nafasi zote zinazoshikiliwa na wa zanzibar zitarudi kwa wa bara)
2. Fursa pi zitaongezeka (biashara zote zinazoshikiliwa na wazanzibar kushikwa na wabara au wazanzibar kuingia ubiya na wabara)
3. Pato lataifa litakuwa wazanzibar watalipia viabari vya kuja bara na kupata working permit ambazo watalipia
4.
hao ndio watu wa nchi gani?.
Mimi nijuavyo!
Kenya - wakenya
Zanzibar - wazdnzibar
Lakini Tangnyika - Wabara acha upumbavu sema WA TANGANYIKA wewe.
Nchi Tanganyika wananchi wake wabara nani aliyekulisha upumbavu huo!!.
 
muungano na udumu....tuungane tupambane na maadui wa muungano ambao kwa nchi ni ZA KIARABU & ZA MAGHARIBI nchi hizi kwa nyakati tofauti hutongoza viongozi ili wavunje muungano kwa maslahi yao!
NASIKITIKA HISIA ZA KUVUNJA MUUNGANO (UBAGUZI) ZIMEANZA KUCHOMOZA KATI YETU.....SISI NI WAMOJA MBONA TUNAANZA BAGUANA......!? CHONDE ALIYENYOOSHA KIDOLE NA ARUDISHE HICHO KIDOLE CHAKE....WAKUBWA TULIOWACHAGUA NA WAKAE TUZUNGUMZE LUGHA MOJA
VIVA MUUNGANO
 
Ukivunjika...Siku ikifika ya kusherehekea uhuru wa Tanganyika itakuwa hakuna kuuma maneno,...itakuwa rahisi kulitaja tena jina Tanganyika, badala ya kusema uhuru wa Tanzania bara.
 
1.mamluki kwenye bunge letu la tanganyika watapungua mana sijui wanamuwakilisha nani 2. Tutapata waziri wa mambo ya ndani waziri wa ulinzi makamu wa rais. ni baadhi tu wapo wengi. 3. nchi yetu itaondolewa kwenye orodha ya nchi zinazozalisha magaidi. 4. tabia za kis**ga zitapungua kama sio kwisha kabisa. faida ni nyingi hizi ni baadhi tu. ashe.. nale..
 
uposawa mkuu, ila hapo kwenye red. Si unajuwa Ma Askofu ndio wanaongoza kuwa nanihino watoto au labda waruhsiwe kuowa ndio mtasalimika. teh teh teh nawengine hawa hapa wanataka kurudishwa kwao Shoga wa KiTanzania Adai Atauawa Akirudisha Nchini
 
Nilidhani tunakubaliana - Watu wa Zanzibar hawaupendi muungano na sisi watu wa Tanganyika pia hatuupendi. Tupo pamoja katika kutokuupenda muungano. Sasa sijui shida kuuvunja iko wapi!
 
Back
Top Bottom