ndio maana nikaja hapa, maana najiuliza nimjibu au nijikaushe tu, na je nikiamua kumjibu, nitamjibu nini? maana anaweza akasema yeye alikuwa ananisalimia tu.Wee Mrembo, sasa maneno yote hayo ya jirani yako yatokapi? Kwani huwa hamsalimiani au kutembeleana kama majirani? 'ooh ninayo simu yako muda mrefu...'. yote ya nini hayo. Ukiona mtu anaanza kujiumauma ujue kuna jambo, kaa vizuri na anza kuandaaa majibu yatoyofuata. Bye!
Huyo ni kumpa jibu ambalo unaona linamstahili, ukimchelewesha waweza kujikuta umeingia katika eneo ambalo kujitoa inkuwa ni ngumu. kumkamata kuku huwa inaanza na maandi machache, ndipo yankuja mengi kuelekea kwenye mtego, hayo ni mahindi ya mwanzoni. mpe jibu unalo zani litamfaa, bila ya kuangalia itkuwaje. cha muhimu ni kuangalia maslahi yako kwanza, baada ya hapo kunakuombana msamaha kama utaonekana umekosea
'hujambo xxx. ninayo simu yako mda mrefu lakini kila nikitaka kipiga nasita. mimi ni YYYY' hii message imetoka kwa mme wa jirani yangu ambaye familia yangu na yake zinaheshimiana sana na ni marafiki wakubwa. Sasa hii message aliyonitumia imenichanganya. najiuliza maswali mengi, je ana nia gani?? mimi bado sijaijibu lakini nawaza je inawezekana hana nia mbaya?
Wana JF naomba msaada wa mawazo.
asante kwa ushauri.ndio maana nikaja hapa, maana najiuliza nimjibu au nijikaushe tu, na je nikiamua kumjibu, nitamjibu nini? maana anaweza akasema yeye alikuwa ananisalimia tu.
Wala sina time naye, naheshimu sna ndoa yangu, na pia nahemuheshimu sana mke wake. yeye pia nilimuheshimu sana, ila amejiaharibiaDu jamani jamani angalieni msimpotezee MREMBO ndege wake, hamjanua msimamo wake labda na yeye kamzaimia.
Mbona hiyo issue ndogo tu? du kila mkipata sms mkikimbilia ushauri du hapa patajaa sana. Ni mawazo yangu tu, maana mimi huwa napata sms za kutongozwa na wanawake karibu 3 times a week. amini usiamini
Endelea kuheshimu ndoa yako ndugu yangu. Huyo ni shetani anataka kucheza na wewe kisha akuache juani. Jirani ni sawa na ndugu. Usiharibu uhusiano wenu mzuri wa ujirani kwa fedheha. Hata kama utashawishika kwenda nje, basi sio kwa jirani. Siku vikijulikana utaona dunia chungu. Hakuna atakayekuamini tena! Kuanzia mume hadi majirani.Wala sina time naye, naheshimu sna ndoa yangu, na pia nahemuheshimu sana mke wake. yeye pia nilimuheshimu sana, ila amejiaharibia
ndio maana nikaja hapa, maana najiuliza nimjibu au nijikaushe tu, na je nikiamua kumjibu, nitamjibu nini? maana anaweza akasema yeye alikuwa ananisalimia tu.
ha! sasa hapo hata kama hakuwa na nia mbaya si atafikiria mi ndio namtaka? Maana experiment inaweza ikakurudi wewe mwenyewe. akimwambia mke wake nimemseduce itakuwa patashika lol!Mmeo akisafiri (kama huwa anasafiri) mkaribishe nyumbani ukiwa peke yako naye aje peke yake halafu mwambie umeshakubali. Unadhani itasimama?
Naam... wazo limetulia!dalili ya mvua hiyo .. mjibu tu .. kumbe hii ni namba yako basi nashukuru kwani umempunguzia mume wangu kazi kwani jana tu alizungumzia kukufuata ili akuombe namba yako .. basi nitampatia hii message aisome kabisa .. ubarikiwe
dalili ya mvua hiyo .. mjibu tu .. kumbe hii ni namba yako basi nashukuru kwani umempunguzia mume wangu kazi kwani jana tu alizungumzia kukufuata ili akuombe namba yako .. basi nitampatia hii message aisome kabisa .. ubarikiwe
Wala sina time naye, naheshimu sna ndoa yangu, na pia nahemuheshimu sana mke wake. yeye pia nilimuheshimu sana, ila amejiaharibia
to mrembo
punguza ukali,huyu kama alitumia technique ya msg basi ni muoga au yawezekana ni mkewe alitaka jua kama kuna nini nyuma ya pazia kati yako na mumewe.sie wajukuu wa mzee msolopa tunaruka hewani,na lazima ukamatike tu
my take
usijibu hiyo msg then sikiliza uone nini kitafuata