kwamtoro
JF-Expert Member
- Nov 15, 2010
- 4,922
- 3,244
Mke wa rafiki yangu amejifungua wiki kadhaa zimepita, rafiki yangu siku zote alipenda kuwa part of everything going on with his son ikiwa ni pamoja na kumuogesha kichanga. Alimuomba mama mkwe wake ambaye alikuja kumwangalia mtoto wake kabla na wakati amejifungua kumfundisha jinsi ya kumuogesha mtoto. Mama mkwe wake alimfundisha na toka mama mkwe wake ameondoka amekuwa akisaidiana mke wake kumuogesha mtoto. Ana sema ana enjoy sana
Je ni wababa wangapi, tunafanya haya, naomba michango zaidi kwa wababa nini wafanyacho katika kipindi ambacho mke wako amejifungua.
Je ni wababa wangapi, tunafanya haya, naomba michango zaidi kwa wababa nini wafanyacho katika kipindi ambacho mke wako amejifungua.