Mkuu ungeandika kwa kiswahili ungeeleweka zaidi! kimombo kina wenyewe!
inategemea, kama mtoto wa kiume anaoshwa na baba, ni kawaida lakini sasa huna uhuru wa kuosha nyeti
Akisha valishwa vizuri utasikia akiwambia marafiki zake, check chata langu ilo.
Kuna challenge ambayo nimeipata hapa kwa office. Kuna mzee moja amesema wanaume wengi wanapenda kufanya ila wanawake ni watu wenye matatizo sana. Ukifanya shughuli kama hizi rahisi sana kwa mwanamke kusema pindi ukiwa na marafiki zako (Baba Nanii muogeshe mtoto, baba nanii kafagie uwanja) anasema mwanaume kwenye maandiko ya dini ameubwa kumtawala mwanamke.
Very nice boy, kwa ulichokisema bilashaka some how wewe nitegemezi kwa mkeo kuhusu masuala ya mkwanja (Fedha) kwa sababu kutokuwa na wazo la utegemezi wa kifedha kwa mkeo pia ni mfumo dume
Hii mada na michango yote hii ndio ina define maana halisi ya nchi ya dunia ya tatu; na maana kuwa bado tuna mifumo ya zama za mawe which doesn't work in the present generation. Baba hana ukaribu na mwanae hata kumpa huduma ambazo ni muhimu kabisa; baba hamuelewi mtoto na mtoto hamuelewi baba. Matokeo yake ni kupata generation ya watu wenye ma degree na good qualifications ila ikija kwenye self expression ni zero..no self confidence; no reasoning na matokeo yake ni frustrations na panic. Wazazi Baba na mama ni muhimu sana wanapokua na moja ya njia nzuri ya ku intermingle ni katika malezi na shughuli zote za nyumbani...watoto wanakuzoea na wanakuwa wawazi kwako hawatokuwa na heshima ya woga. Sisi wakina baba tushiriki katika malezi sio kukimbilia bar baada ya kazi
mkuu kwa taarifa yako mimi ni mfanyakaz mwajiriwa kwenye kampun moja kubwa hapa arusha na mke wangu ni mama wa nyumban na vibiashara vyake vdogovdogo sijalelewa kwenye mfumo dume hata baba yangu alikua akituhudumia hvyo so sion ajabu kwa mwanaume kuyafanya hayo kwa mkewe na watoto wake,wewe ni aina ya mababa msiojal wake zenu wala watoto tena ndo wale mnaorud nyumban ucku wa ma8,pole yako kaka.
well said comrade now you hit the point,anae bisha hafai kua aina ya baba bora ktk jamii
Kuwa baba bora haiishii tu kuogesha, kuwalisha watoto na kurudi mapema home. Baba bora ni yule anaetake car family today na hata siku zijazo. Siku zijazo ni pale mtu unapo invest for your kids ili hata ukitoweka hapa duniani wasiishie kuwa ombaomba. Sasa wewe umeajiriwa vimishahara vyenyewe hand to mouth halafu kidume badala ya kutumia mda wa ziada kutafuta namna ya kujiongezea kipato wewe unakimbilia home kuwaogesha watoto na kuangalia katuni wakati mama yao yupo kha kweli majanga
Kaka Maisha ni karata, jinsi utakavyo zipanga vizuri ndivyo utakavyo fanikiwa. kama kutumia mda mwingi kwenye kazi ndio kupata pesa nyingi na kuinvest basi walinzi leo hii wangekuwa mamilionea. Unaweza ukawa unatumia muda mchache na mambo yakawa super. Sometimes ukiwa upo nyumbani na mishe mishe zinaendelea kama kawa. kuna ajira za nyumbani as well, kama mtu umejenga nyumba yako una eneo kubwa kiasi waweza angalia mifugo yako, vibustani kidogo na kadhalika
Mkurugenzi si unajua tena kumuogesha mtoto ni wajibu wa ke!
Kama hayupo sawa!
But akiwepo inakua ngumu sana kwa me kujivika hii duty!!!
Mm nawezamsaidia kupika lakini SI kumsafisha mtoto! Teh teh teh!
Kuwa baba bora haiishii tu kuogesha, kuwalisha watoto na kurudi mapema home. Baba bora ni yule anaetake car family today na hata siku zijazo. Siku zijazo ni pale mtu unapo invest for your kids ili hata ukitoweka hapa duniani wasiishie kuwa ombaomba. Sasa wewe umeajiriwa vimishahara vyenyewe hand to mouth halafu kidume badala ya kutumia mda wa ziada kutafuta namna ya kujiongezea kipato wewe unakimbilia home kuwaogesha watoto na kuangalia katuni wakati mama yao yupo kha kweli majanga