Mamndenyi
Platinum Member
- Apr 11, 2011
- 44,606
- 64,451
Hongera sana Elli hata wewe ni baba mzuri, barikiwa sana.
hahahhaaa tuko wengi sana bhana, mie ni mmojawapo na hata jana nilishinda nae kutwa nzima wakati Mama yake ameenda msibani Chalinze. Nilimuogesha, nikamlisha, nikambadilisha, mchana wa saa nane nikalala nae hadi saa kumi na moja, tukaamka, nikampa chakula tena tukaendelea kucheza wote, ila Mama yake alipokuja tu urafiki wote ukaisha!!! ana mwaka mmoja na miezi sita tu.
Last edited by a moderator: