Wababa wanaotembea na mabinti zao...!

Iringa town kuna dem mzuri kinoma na ana figure babkubwa nilionyeshwa na kuambiwa mzee wake ndo anamaliza,siku amini! na miradi yake ndo anasimamia,club huwezi kumgusa!
 
Mimi nafikiri wazazi hatufanyi wajibu wetu wa kuwafunza hawa watoto...! Nasi wakubwa tujilaumu kwa kuendekeza na kuyaruhusu haya...! Kwani hata wamama watembea na vijana wao wa kiume...! Nadhani ni muda wa kujifunza kusema "HAPANA", otherwise, we will end up crying...!

Nilipata kuwa katika mji mmoja ya mkoa mmoja Tanzania, lakini hadi leo nashangaa na kustaajabu kabisa...! Kati ya wanawake 6 niliowatamkia kutaka kulala nao bila maelewano mengine, na bila hata neno "NAKUPENDA", hakuna hata aliyepata kunitamkia "HAPANA"....! Nilipotokea na mazoea, nilitegemea niambiwe hapana na baadhi. Ila sikuweza kulala na hata mmoja nikisingizia tucheki siku nyingine, then naishia...! Je, inawezekana kila unayemkuta asiweze hata kusema hapana, japo kwa mara ya kwanza? Kama hivi ndivyo dunia ilivyo, basi shetani akimgusa mmojawapo tu, itakuwa ni rahisi kufanya hivyo!
 
wos hiyo ya mama na mtoto duh??
hivi watu wa aina hii hawapati laana?

Unashangaa hili? Mbona ni kitu cha siku nyingi sana! Watu wanaambiwa nenda karudi ulikotoka uatapata fweza! Jamaa anaenda kumtongoza maza! Du unaanzaje?
 
Dunia ina maajabu ila moja sijalisikia....mtoto wa kiume kumrudi baba yake mzazi...hayo ya baba na binti...kijana na mama....kaka na dada...baba kumrudi kijana wake....kijana kuruka ukuta kwa mama yake yote yashatokea....hilo la kwanza kiboko...likitokea tu kiama tayari....siungi mkono lolote lakini...please...just sharing with you guys
 
Heeeeeee kuku na mayai yake walaaa tuuu! Hi ni aibu na zaidi ya laana yaani mnakatikiana viungo baba na mwana! na Mwana anajua fika hii ni mali anayotumia mama duh! Mola tuepushe na haya:mad2::mad2::mad2::mad2:

Ukifanya biashara unakula mtajiii au faida...?:becky:
 
Nna kisa kimoja kimetokea maeneo ya huku kwetu hii juzi cha ajabu sana.mahusiano ya binti na baba yaliyokuwa yakiendelea kwa muda mrefu bila mama kujua yamepelekea mama kutimuliwa ndani ya nyumba na hao wawili kuendelea na mchezo wao mchafu.binti kamaliza form 4 na inavyosemeka baba ndo akimbikiri mwanaye.baada ya binti kurudi home toka shule (alikuwa boarding),alimtreat mamaye kama mke mwenza.mama akimuagiza kitu anamwambia 'si na wewe ni mwanamke kama mimi...' kuna siku mama akakasirika na kumzaba kibao binti naye akamkunja mama wakatwangana sana.binti akaruka hewani kwa dingi.dingi kufika tu akamfungashia mama kila chake akisema 'nenda nibaki na mwanangu,hata hivyo hakuna anachoshindwa kunitimizia...' aaaki yule madhee karibu afaint

Hii dunia ni Mungu tu ndio anaweza kutuokoa
 
wanadanganywa na waganga maybe, maana mwenye akili timamu sidhani kama atawaza ushetani huu
 
God have mercy! Dunia imekwisha ombeni bila kukoma baba ombea familia mama ndiyo ukeshe hasa ukiombea maisha bora wa viumbe vilivyokutoka tumboni.

Vinginevyo tuko kwenye laana ya karne.
 
Psychopaths with do such a thing, Dont forget we are living in the last days, so anything is possible. But, then, this question ought not to arise! that a father will start getting carried away by his daughters luscious apples, and honey pot? Only a mad man and devil incarnate would say yes to sleep with his daughter.

The Finest hii tabia ipo na kama ulivyosema inafanywa na watu possessed na mapepo ya ngono pia na tabia zao hata kabla ya kuoa. Makuzi ktk makundi mabaya na kupenda ngono kupita kiasi ndio cause kubwa. Watu hawa hata wakati mwingine huwatamani mama zao wazazi.

Dawa ya watu hawa ni kuwaondolea tu uwezo wa kufanya sex kwani wanachofanya ni unyama usioelezeka.

Mimi nina binti yangu nampenda sana na haijawahi tokea mawazo yangu yakaenda huko kuchafu hata siku moja na huwa najiuliza how possible baba anathubutu kumvua binti yake nguo na kumwingilia. Napata ukakazi mkubwa. Hawa watu lazima wawe wana matatizo makubwa ya Kisaikolojia.

Mimi NACHUKUA NAFASI HII KUUNGANA NA WASTAARABU NA WAPENDA MAADILI WOTE DUNIANI KULAANI IN THE STRONGEST TERM WA BABA WANAO FANYA TENDO LA NDOA NA MABINTI ZAO. NA KAMA WAKO HUMU MTANDAONI WAJUE HATUWAPENDI NA WANATAKIWA WATUBU NA KUMRUDIA MUNGU LA SIVYO WAJIANDAE KUINGIA JEHANAM YA MOTO.
 
1. kuna mzee mmoja jirani yetu alitembea na mtoto wake wa kike mkubwa, mke alipogundua alifungasha kilicho chake na kurudi kwao na jamaa akaoa mke mwingine, kosa alilolifanya alimuacha binti yake mdogo kwa baba akiwa darasa la 4, mtoto alipofika form 2 mke mpya alimkuta dingi amemlaza mtoto kitandani tayari kabisa kwa shughuli pevu (inasemekana mzee alianza kumpiga huyu binti mwingine kitambo sana)
2. jirani nyumba ya 2 yeye mpaka amezaa na binti yake, mama na binti ni paka na chui
3.mkurugenzi wa wilaya alikuwa na ngoma hlf alikuwa anapiga binti yake, mahusiano yao hayakuwa siri
4. rafiki yake na mzee wangu OCD alikuwa anapiga binti yake na huku akijua fika ameathirika
 
Back
Top Bottom