Wababa mupooooo?

Wababa mupooooo?

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
43,037
Reaction score
34,741
1501200_471888959584490_1353385167_o.jpg
 
Hii ya kweli aisee. Mjukuu wa ukweli ni toka kwa mtoto wa kike. Sasa huyo anataka akamweleweshe nini?
 
Yaani mnatoka kwa Mkemia halafu Mama nae
amekomaa Baba Salha ngoja nimueleweshe ?
Ila haya mambo ni kupiga moyo konde tu
maana ufuatiliaji huu wa vipimo ni mbaya sana.
 
hii kwa Afrika ndio kabisaaa, maana unakuta mama ana MUME, KIDUMU, KIWALET, KI M-PESA, MPAKA RANGI nk. ukijifanya unapima DNA jua unatafuta kulia mtuzima.
 
Na kama wewe ulibambikiwa huyo mtoto wa kike maana yake hata hao wajukuu (watoto wa binti yako feki) sio wako.....................

Kwa mpango huu. Tutapima ukoo mzima halafu tutambue unidentified elements. Unakuta mtoto yupo rough Yaani unashindwa kujua kaurithi toka kwa nani.
 
Yaani mnatoka kwa Mkemia halafu Mama nae
amekomaa Baba Salha ngoja nimueleweshe ?
Ila haya mambo ni kupiga moyo konde tu
maana ufuatiliaji huu wa vipimo ni mbaya sana.
Teh teh teh!mke bado anampenda mume wake!
 
kuna baba mmoja alinunua robot ambalo mtu ukiongea uongo unapigwa kofi na roboti...siku moja mtoto alipewa ripot kutoka shulen ila aliichana njiani coz alifeli ,kufika nyumbani
baba kamuuliza "liport ikwapi ?"
dogo akabu "imepeperuka..baba "
baba "haya umekuwa wa ngap"
mtoto ''nimekuwa wa tano " hapohapo akapigwa bonge la kofi na robot
baba ''umeona ulivyo muongo we mtoto! me enzi zangu nasoma nilikuwa sikosi tano bora" baba nae kofi mtoto akaanza kumcheka baba yake akatokea mama yake akamwambia mtoto "we mbona unacheka unadharau we mtoto unamcheka huyu si baba yako" MAMA NAE KOFI kutoka kwa robot....kumbe mtoto sio baba yake mzaz yule...ilikuwa kizazaaa nyumba ile
 
Hii ya kweli aisee. Mjukuu wa ukweli ni toka kwa mtoto wa kike. Sasa huyo anataka akamweleweshe nini?
Teh teh teh!mjukuu wa mtoto wa kike naye anaweza kuwa fake kwa baba,kwani mama yake mwenyewe anaweza kuwa fake pia!
 
Back
Top Bottom