TUKUTUKU
JF-Expert Member
- Sep 14, 2010
- 11,763
- 4,046
Teh teh teh!maendeleo ya kugawa uroda hovyo!loool......wanawake na maendeleo
Teh teh teh!maendeleo ya kugawa uroda hovyo!loool......wanawake na maendeleo
Duh!hii ni kali ya mwaka!kuna baba mmoja alinunua robot ambalo mtu ukiongea uongo unapigwa kofi na roboti...siku moja mtoto alipewa ripot kutoka shulen ila aliichana njiani coz alifeli ,kufika nyumbani
baba kamuuliza "liport ikwapi ?"
dogo akabu "imepeperuka..baba "
baba "haya umekuwa wa ngap"
mtoto ''nimekuwa wa tano " hapohapo akapigwa bonge la kofi na robot
baba ''umeona ulivyo muongo we mtoto! me enzi zangu nasoma nilikuwa sikosi tano bora" baba nae kofi mtoto akaanza kumcheka baba yake akatokea mama yake akamwambia mtoto "we mbona unacheka unadharau we mtoto unamcheka huyu si baba yako" MAMA NAE KOFI kutoka kwa robot....kumbe mtoto sio baba yake mzaz yule...ilikuwa kizazaaa nyumba ile
Siku ya mwisho Mungu atatuhukumu bila huruma!Na kama wewe ulibambikiwa huyo mtoto wa kike maana yake hata hao wajukuu (watoto wa binti yako feki) sio wako.....................
Mkuu wewe lea tu hawa watoto kama anavyofanya ndege anayeitwa HONDOHONDO!IKibidi hivi itabidi na mimimwanangu neinde kumpima DNA wanawake hawaaminiki kabisa. Unaweza kumlea toto sio la kwako kabisa.
dunia imeharibiwa sana na wanawake!duh hatariiiiiii!!!!!!
Mungu awasamehe wanawake wote duniani!yaani ni majanga kwa kweli,kuna saa huwa nawaangalia wanangu najisemea kweli,hawa wote watatu ni wa kwangu au kuna chembe ya mbegu zingine.hakuna dhambi kubwa wanawake watakaoipata kama hii ya kubambikia wanaume watoto.unalea tangu mimba,unamsaidia mama kwa hali zote,unajikunja unasomesha ukidhani ni mtoto wako wa damu,kumbe toto la jamaa mwingine.aaagggrrr
Hadithi yako inatufundisha tusiwe waongo.kuna baba mmoja alinunua robot ambalo mtu ukiongea uongo unapigwa kofi na roboti...siku moja mtoto alipewa ripot kutoka shulen ila aliichana njiani coz alifeli ,kufika nyumbani
baba kamuuliza "liport ikwapi ?"
dogo akabu "imepeperuka..baba "
baba "haya umekuwa wa ngap"
mtoto ''nimekuwa wa tano " hapohapo akapigwa bonge la kofi na robot
baba ''umeona ulivyo muongo we mtoto! me enzi zangu nasoma nilikuwa sikosi tano bora" baba nae kofi mtoto akaanza kumcheka baba yake akatokea mama yake akamwambia mtoto "we mbona unacheka unadharau we mtoto unamcheka huyu si baba yako" MAMA NAE KOFI kutoka kwa robot....kumbe mtoto sio baba yake mzaz yule...ilikuwa kizazaaa nyumba ile
na hii hapa je?hadithi yako inatufundisha tusiwe waongo.
Teh teh teh!tabia hii ipo Afika au dunia nzima?