Waarabu na Wahindi wanawezaje ku-manage biashara kubwa wakiwa na umri mdogo?

Wakuu Wenzetu Waarabu na Wahindi Wanawaandaa Watoto Wao kuwa na uwezo wa ku manage Biashara kubwa kama hii ya mabus wakiwa vijana wadogo.

Huyu Anaitwa Amran Ally Mohamed Said au Amran Kifaru ndio mmiliki na msimamizi Mkuu wa Mabus ya Ally's Star.

Ally Star ni Mabus yanayofanya Root za Dar To Mwanza, Kuna Mwanza to Tabora, Kuna Mwanza Kahama, Kuna Mwanza To Dom nk.

Mzee Wake Amran Kifaru ameamua kumwachia umiliki na usimamizi Wa Hii Biashara Kubwa huyu Kijana Mdogo Kabisa.

Je, Sisi Tunakosea wapi Kwenye kuwaandaa Watoto wetu kufanya Na Kusimamia miradi mikubwa Kama Hii?

View attachment 2405585
hawa walishaandaliwa tokea wadogo Wazazi wao walitengnezea mazingira ya kuwa nao karibu mapema lakini wazaz wetu sisi tunawaogopa na hatun mda nao wa kupanga nao kitu chochote kile
 
Sisi tunakosea 1. Umalaya 2. Ulevi 3. Kutaka jionyesha kuwa tuna pesa sasa.
Ndio nakuwahonga malaya na michepuko sasa mtu unalaki tu unaita wanakamati wote wakazini bado yule uliyesoma naye na kuongeza malaya ili genge lijae wenzenu starehe watakustarehesha ila kukupa hela weee hadi wakuone umechakaa kiaso fulani.

Ndio ujue hilo wanaume mablack mnahonga bar mnahonga kila mahali mnaishia kujiua na huku mngekitambua kama umeoa toka na wife kuleni kitu furahini kidogo au watoto wenu basi halafu mengine mnayajenga sasa mnaficha ficha biashara zenu mama hajui wala watoto siku yasiku unafilisika .

Wahindi ahwafichi familia zao wanawaambia kila kitu na ndio maana wanaendelea .

Kingine hawaambii malaya na marafiki mambo yao ya msingi
 
Wazazi tofauti na weusi huina fahari wototo wao wanapofanya biashara zao kabla hawajafa kwa sisi weusi hatufanyi hivyo tukiogopa kuibiwa, ufujaji wa Mali na dharau...kikubwa ni moja ya ujinga ujinga wa watu weusi...tuko na ujinga mwingi mwingi sana
 
Kuna Dogo mmoja anaitwa elikanafx ni mtu wa forex alisema hayo mabasi anashare zake 😂😂😂na yey ni mmiliki huyu kijana na mwanafunzi wa Ontario .
Yule kijana adi bio ya insta kaweka allys star sasa ukute kawekeza sijui basi ngapi😂 ila all in all watu wa forex wanapata pesa nyingi kwa kufanya mentorship na sio pesa za wao kutoa sokoni forex😂
 
Wakuu Wenzetu Waarabu na Wahindi Wanawaandaa Watoto Wao kuwa na uwezo wa ku manage Biashara kubwa kama hii ya mabus wakiwa vijana wadogo.

Huyu Anaitwa Amran Ally Mohamed Said au Amran Kifaru ndio mmiliki na msimamizi Mkuu wa Mabus ya Ally's Star.

Ally Star ni Mabus yanayofanya Root za Dar To Mwanza, Kuna Mwanza to Tabora, Kuna Mwanza Kahama, Kuna Mwanza To Dom nk.

Mzee Wake Amran Kifaru ameamua kumwachia umiliki na usimamizi Wa Hii Biashara Kubwa huyu Kijana Mdogo Kabisa.

Je, Sisi Tunakosea wapi Kwenye kuwaandaa Watoto wetu kufanya Na Kusimamia miradi mikubwa Kama Hii?

View attachment 2405585
Yuko makini

Hebu ona yeye ndie bosi mkuu wa Ally Star lakini Mwangalie kavaa uniform ya madereva ya wanaoendesha basi.

Yawezakana Siku hiyo.dereva alikuwa na udhuru kafiwa,anaumwa labda akaona ashike mwenyewe

Angalia machoni alivyo na umaskini akiwa usukani wa bus

Nampongeza kwa Kweli.Ally Star ana mania ya mabasi na mallori kuweza kuendesha kampuni kubwa kama Ally Star kwa umri wake anastahili pongezi sana
 
Back
Top Bottom